Dkt. Hassan Abbas aliwahi kusema kuwa usemaji siyo kuropoka, bali ni taaluma

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Hili dongo lilikuja baada ya lopolopo kutoa onyo mashabiki wa utopolo wasikanyage uwanjani siku ya mechi ya kimataifa ya simba, Picha likaanza tu simba walitoa statement KUSIKITISHWA NA UROPOKAJI HUO na msemaji wa serikali kipindi hiko Dr Abass akashushia msumari wa moto.

Lopolopo kama kawaida lilijiliza kwenye social media kwamba limegeukwa na klabu na kuishia kusema inshalaah WTF? ikumbukwe usemaji ni taaluma siyo kutukanatukana kuitwa watu majina wewe ukiitwa unalialia hovyo kusema unadhalilishwa sababu hauna melanin kwenye ngozi. Damn it!

=======

"Wasemaji ninaowaongoza wazingatie kuna maadili ya kuwa Msemaji kama vile taaluma ya habari ambayo inatuongoza, tumeshatoa mafunzo kwa Wasemaji wa Vilabu vya Mpira, tumeona kuna changamoto kweli wakati mwingine badala ya kuhamasiha Watu kwenda viwanjani unakuta Msemaji anahamasisha vurugu, Msemaji anasema Watu fulani wasije uwanjani ukija tutakutoa”- Dk. Hassan Abbas, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

“Wasemaji wafahamu usemaji sio kuropoka, usemaji una maadili yake kwahiyo tumeshatoa mafunzo kwa Wasemaji wa Vilabu vyote vya michezo mbalimbali, huku tunakokwenda tunataka kuona mabadiliko kwahiyo ni muhimu kwa Viongozi na Vyama vya Michezo kuhakikisha Wasemaji wao sio waropokaji isipokuwa ni Watu wanatimiza wajibu wa kitaaluma na kikatiba lakini sio porojo na uropokaji"- Dr.Abbas

- Dkt. Hassan Abbas: Wasemaji wa vilabu msiropoke na acheni porojo, zingatieni maadili
 
Manara anakuumiza kichwa sana jomba? Kwa siku unamuanzishia thread ngapi?
 
Hayo ni mateso hata kabla Haji hajamaliza wiki pale jangwani,ikifika robo msimu watakuwa wamekufa Makolo wengi aisee...
 
Nakumbushia tu namna Dr Abass alivyokereka, vipi sasa issue ya vyeti vya lopolopo haujapata hata picha za graduation ya advanced diploma huko China au chuo cha south africa?
 
Back
Top Bottom