Siwaelewi Hawa watu wanaposema eti wanaotaka katiba mpya ni wanasiasa hasa wa upinzani na sio wananchi Sasa swali langu kwao hicho kipimo Cha wananchi wanakipimaje? Wanataka itokee Nini ndio waseme Sasa wananchi wameamua? Au wananchi wafanye maandamano nchi nzima ndio watakubali kwamba Sasa wananchi wameamua wanataka katiba? Hebu nisaidieni nyie mnaowaelewa.Ndiyo maana yake Mkuu.
Siwaelewi Hawa watu wanaposema eti wanaotaka katiba mpya ni wanasiasa hasa wa upinzani na sio wananchi Sasa swali langu kwao hicho kipimo Cha wananchi wanakipimaje? Wanataka itokee Nini ndio waseme Sasa wananchi wameamua? Au wananchi wafanye maandamano nchi nzima ndio watakubali kwamba Sasa wananchi wameamua wanataka katiba? Hebu nisaidieni nyie mnaowaelewa.
Kweli tupSiwaelewi Hawa watu wanaposema eti wanaotaka katiba mpya ni wanasiasa hasa wa upinzani na sio wananchi Sasa swali langu kwao hicho kipimo Cha wananchi wanakipimaje? Wanataka itokee Nini ndio waseme Sasa wananchi wameamua? Au wananchi wafanye maandamano nchi nzima ndio watakubali kwamba Sasa wananchi wameamua wanataka katiba? Hebu nisaidieni nyie mnaowaelewa.
Utapimaje kipimo Cha maamuzi ya wananchi? Je ni mpaka waingie barabarani ndio mseme Sasa wananchi wameamua?