DKT. Hussein Ali Mwinyi afungua shule ya sekondari ya ghorofa Pujini wilaya ya Chakechake - Pemba

DKT. Hussein Ali Mwinyi afungua shule ya sekondari ya ghorofa Pujini wilaya ya Chakechake - Pemba

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi afungua Skuli ya Ghorofa ya Sekondari Pujini iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa fedha za Uviko-19 Kupitia Shirika la fedha Duniani (IMF).

Leo Jumatatu,
📆02 Januari 2023

📍Skuli ya Sekondari Pujini,Wilaya ya Chakechake,Mkoa wa Kusini,Pemba.

IMG-20230102-WA0862.jpg

IMG-20230102-WA0859.jpg
IMG-20230102-WA0872.jpg
IMG-20230102-WA0868.jpg
IMG-20230102-WA0862.jpg
IMG-20230102-WA0861.jpg
IMG-20230102-WA0859.jpg
IMG-20230102-WA0858.jpg
IMG-20230102-WA0874.jpg
IMG-20230102-WA0872.jpg
IMG-20230102-WA0871.jpg
IMG-20230102-WA0873.jpg
IMG-20230102-WA0868.jpg
IMG-20230102-WA0864.jpg
 
Watu awataki shule ya ghorofa kinachihitajika elimu bora
 
Hivi zile zilkuwa mkopo nafuu eeh?? Kumbe tunagawana fedha za mikopo na wenzetu, ila kwenye kulipa tunalipa wenyewe.
 
Shule haina viwanja vya michezo! Au sijaona vizuri!? Inabidi takwa moja wapo la mamlaka kutoa certificate ya shule iwe ni uwepo wa eneo la watoto kucheza.

Mtoto kukosa sehemu ya kucheza na wenzake ina athari mbaya sana kwenye ukuaji wa kitaaluma na kijamii.

Otherwise majengo mazuri na huyu Raisi analengo jema na Zanzibar hili liko wazi kabisa.
 
Darajani, Haileselasi, Lumumba na Benbella zote ni za ghorofa. Zilijengwa kabla ya Mapinduzi.
 
Shule haina viwanja vya michezo! Au sijaona vizuri!? Inabidi takwa moja wapo la mamlaka kutoa certificate ya shule iwe ni uwepo wa eneo la watoto kucheza...
Na hiyo ni kanuni mojawapo ya kumilikishwa shule.. Kuna sheria kuwa mjini walau ekari 3 kijijini ekari 5.
Sasa kwakua mbuzi wa bwanakheri na shamba pia zinaweza kuwa kheri kheri tupu
 
Back
Top Bottom