Kwani aliyepo ameshatenganishwa na vyombo vya Dola na vya maamuzi ?!Huyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.
Ni mtu mtulivu, hana kashfa ndogo wala kubwa, sio mtu wa kuruka kuruka kama kichaa, ana uzoefu wa muda mrefu, yuko composed.
Kama uteuzi ndani ya CCM safari hii utalenga kutoa nafasi kwa wenye asili za Zanzibar ama hata vinginevyo, nafikiri Mhe Hussein Alli Hassan Mwinyi atakua chaguo bora.
Mengine tuziachie mamlaka.
Anaongoza Wizara ambayo haina changamoto,pale Wizara ya Ulinzi yeye yupo kama nembo tu lkn maamuzi yote yanatolewa na Makamanda wa ukweli siyo wale Makamanda fake wa ChademaHuyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.
Ni mtu mtulivu, hana kashfa ndogo wala kubwa, sio mtu wa kuruka kuruka kama kichaa, ana uzoefu wa muda mrefu, yuko composed.
Kama uteuzi ndani ya CCM safari hii utalenga kutoa nafasi kwa wenye asili za Zanzibar ama hata vinginevyo, nafikiri Mhe Hussein Alli Hassan Mwinyi atakua chaguo bora.
Mengine tuziachie mamlaka.
Ndo hapo sasa, kuna candidates wazuri ambao hawapo kwenye system tofauti na huyo mzaramo wa MkurungaHivi ni lazima watoto wa viongozi nao wawe viongozi ?
Naunga mkono hoja, tena hayuko peke yake kutoka pande hizo, hata huyu anafaaHuyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.
Ni mtu mtulivu, hana kashfa ndogo wala kubwa, sio mtu wa kuruka kuruka kama kichaa, ana uzoefu wa muda mrefu, yuko composed.
Kama uteuzi ndani ya CCM safari hii utalenga kutoa nafasi kwa wenye asili za Zanzibar ama hata vinginevyo, nafikiri Mhe Hussein Alli Hassan Mwinyi atakua chaguo bora.
Mengine tuziachie mamlaka.
Hata hauhitaji vyote hivyo unaweza ukawa kilaz na ukaongoza Tzmtu yeyote mwenye 40yrs and above plus a nincompoop first degree qualifies to lead the so called republic of DANGANYIKA
Nenda na wewe kawe kama nembo kama utawezaAnaongoza Wizara ambayo haina changamoto,pale Wizara ya Ulinzi yeye yupo kama nembo tu lkn maamuzi yote yanatolewa na Makamanda wa ukweli siyo wale Makamanda fake wa Chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
Nooo mimi nakupendekeza wewe Pasco, una sifa zote halafu hauna makundi....Naunga mkono hoja, tena hayuko peke yake kutoka pande hizo, hata huyu anafaa
Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe? - JamiiForums
Tatizo la rais wa JMT kutoka Zanzibar ni hili.
Je, kunahitajika affirmative action ili Mzanzibari aweze tena kuwa Rais wa JMT? - JamiiForums
P.
Huyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.
Ni mtu mtulivu, hana kashfa ndogo wala kubwa, sio mtu wa kuruka kuruka kama kichaa, ana uzoefu wa muda mrefu, yuko composed.
Kama uteuzi ndani ya CCM safari hii utalenga kutoa nafasi kwa wenye asili za Zanzibar ama hata vinginevyo, nafikiri Mhe Hussein Alli Hassan Mwinyi atakua chaguo bora.
Mengine tuziachie mamlaka.
si kila mtu akizaliwa anakuwa na ndoto yake maishani, kama ndoto zao ni kuwa viongozi wasiitimize kwa sababu ya baba/mama zao waliwahi kuwa viongozi?Hivi ni lazima watoto wa viongozi nao wawe viongozi ?
BENARD MEMBE FOR PRESIDENTIAL 2020 ,Huyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.
Ni mtu mtulivu, hana kashfa ndogo wala kubwa, sio mtu wa kuruka kuruka kama kichaa, ana uzoefu wa muda mrefu, yuko composed.
Kama uteuzi ndani ya CCM safari hii utalenga kutoa nafasi kwa wenye asili za Zanzibar ama hata vinginevyo, nafikiri Mhe Hussein Alli Hassan Mwinyi atakua chaguo bora.
Mengine tuziachie mamlaka.
.BENARD MEMBE FOR PRESIDENTIAL 2020 ,
Naalabukmtu yeyote mwenye 40yrs and above plus a nincompoop first degree qualifies to lead the so called republic of DANGANYIKA