Uchaguzi 2020 Dkt Hussein Alli Hassan Mwinyi, anafaa sana kupeperusha bendera ya Urais kupitia CCM

Upuuzi mtaacha lini? angalau ungesema ww unafaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said
 
Utumwa bado unahangaisha akili zetu. Yaani kuwa mtoto wa rais mstaafu nayo ni sifa ya kuwa rais? Umuonavyo ktk maisha yake kwenye hizo nafasi, nini cha maana lishafanya kuonyesha kwamba ni kiongozi mzuri? Iko siku mutatuletea zezeta kwa sifa ya utulivu na upole.
 
Kama sifa zenyewe za kuwa rais wa Tz ni hizi basi hata polepole anafaa kuwa rais!!! Hapa ndipo watanzania tunaonekana watu wa ajabu sana. Mtu aliyeshika nafasi kubwa serikalini kwa miaka mingi ili awe rais/ mkuu wa nchi tunampima kwa upole, hana kashfa na harukiruki???
 
Dkt Mwinyi ni smart by 4 by far kuliko hawa certified vichaa wenu
 
Mkuu ile campain yenu ya twende na Membe vip? Ilisha kwisha muda wake? Au mmebadiri gia angani..

Taarifa yako tu, au Dokezo mwaka 2020 sisi Watanzania tutaanzisha campain kali sana kwenye media zote kumuongezea JPM muda wa uongozi kupitia mabadiriko madogo ya katiba.
And believe me! Tutafanikiwa japo kutakuwa na wimbi la upinzani wa hoja hiyo ikianzia kwa Rais mwenyewe lakini tutashinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marais wa kupelekeshwa hawatakiwi nchi hii kwa sasa,ni bandika bandua ya watemi mithiri ya Magufuli ,kitakapoeleweka ndio atakuja mpolempole,nchi inanyooshwa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…