Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi, ateuliwa na ZEC kugombea Urais wa Zanzibar

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemteua Dkt. Hussein Mwinyi kuwa mgombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu 2020

Hussein Mwinyi anagombea kwa tiketi ya CCM na amesema watafanya kampeni za kisayansi na ustaarabu

 
Wazanzibari msipoteze utaifa wenu, Mwinyi ni kama kateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Zanzibar. lindeni utaifa wa Zanzibar mchagueni Maalim Seif.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…