The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Ni wao kwa wao na wao na watoto wao. Daaah inauma sana kiongozi hadi unatamani kuliaMfumo sahivi umekamatwa na majangili tupu
Ccm kuondoka ni ngumu dada yanguUJUMBE MZURI
MIMI NINGEPENDELEA ZAIDI SERIKALI KUFANYIA KAZI N
1.1.WALIMU WA KUTOSHA NA WAZURI
2. ZANA ZA KUSOMEA
3. KUPUNGUZA MSONGAMANO MKUBWA DARASANI
4. KUSHUGHULIKIA MAHUDHURIIO YA WALIMU (URORO NA UCHELEWAJI)
5. CHANGAMOTO YA BAADHI YA WANAFUNZI KUJULIKANA.
LAKINI NDUGU YANGU UNAMKUMBUSHA RAISI SASA HIVI WAKATI ZIMEBAKI SIKU SABINI NA MOJAKUPIGA KURA?
NA HAIJULIKANI KAMA ATAENDELEA YEYE AU ATAPATIKANA RAIS MWENGINE.
TUOMBE KHERI