SawaTatizo sio uzao gentleman,
Ile ya muhimu kama Taifa ni kuhakikisha tunaongozwa na viongozi waadilifu wenye uzoefu na nguvu za kuhakikisha Taifa letu lina piga hatua za kimaendeleo kisiasa, kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa,
masuala ya ubaguzi wa na dhana potofu ya uzao, haiwezi kulikosesha taifa letu viongozi waandamizi madhubuti π
Ya 2025 yamekwisha na kumalizika kwa mafanikio makubwa sana gentleman,Tuwe na akiba ya maneno. Hata hii ya 2025 wahusika wanajua kuwa bado "haijaisha".
nani anashuka gentleman kwenye utumishi wa umma?Inafikirisha yaani ashuke cheo toka Urais mpaka Umakamu
pole gentleman,Wewe Fala badala ya kuwaza pesa za ARV mtazitoa wapi unawaza mambo ya uchaguzi 2030....wewe Fala Una Akili kweli?
Gentleman,Huu Uchaguzi utawatoa Jasho sana, Hapo ndio mtaona Umuhimu wa Kuweka Potential Candidate na Mwenye Kukubalika Na Umma,
Muda huu si mmeamua Bora liende sisi tunawachora tu
relax and calm down gentleman,Wewe ni mjinga sana.
Angalia hata kichwa cha habari na habri yenyewe.
kwa Neema na Baraka za Mungu, kama wanadamu wenye imani kwa Mungu, kwa akili, utashi na karama alizotujalia Allah,Hakuna mtu mwenye garantii yakuishi miaka mitano mbele je wamechukua ahadi hiyo kwa mola wao!
Masta huwezi kua unapata supu ya samaki masta... wanaokula supu ya samaki mara nyingi wana akili nyingi masta... Labda kama unakula changu... Ila asante sana!karibu supu ya samaki gentleman π
habari za machangu sinaga gentleman,Masta huwezi kua unapata supu ya samaki masta... wanaokula supu ya samaki mara nyingi wana akili nyingi masta... Labda kama unakula changu... Ila asante sana!
Asante gentlemanhabari za machangu sinaga gentleman,
hata hivyo,
ni muhimu sana kula vya kutosha ukipata fursa, mengine ni dhana tu ambazo hazina athari yoyote kijamii.
siku ukikatiza makao makuu ya nchi karibu sana aise ila supu ya kuku inakinaisha haraka sana π