Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi ni Mandela mpya wa Visiwa vya Zanzibar


..Hussein Mwinyi alimaliza kidato cha 6 huku Tanganyika halafu akakwepa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria.
 
Hv we kada umetafakari vyema kabla ya kuandika utopolo wako nyie ndo makada msojielewa uzi mreefu umejaa pumba tu,igeni mfano kwa kada mwenzenu
(Gentamycine)
 
Wallah yule baba wa watu Dk Hussein Mwinyi kwa Znz anajitoa sana tunashukuru , Kwasasa naweza hata kuwaambia wanzazibar wenzangu waendelee kutuunga mkono maana hili chaguo la mioyo ya Wanzanzibar
Mimi sio mtu wa visiwani. Till to date ni kiongozi gani wa africa ambae alijitoa maisha yake. Hata ku risk kupoteza maisha yake kwa ajili ya watu wake?
Kile kizazi cha wapigania uhuru ndio viongozi walioula mateso wengine wakauwawa..
Kiongozi gani wa sasa hiv anaweza waliyo yafanya akina mandela? Hayupo.
Usimfananishe mandela na vitu vidogo.
 
Hussein Mwinyi toka lini alikaa jela kifungoni kupinga udharimu wa Tanganyika dhidi ya Zanzibar hata mkamfananisha na Mandela?
Ndio hiyo namuhoji mtoa post. Mandela alikula mateso si ya nchi hii. Halaf unakuja kumfananisha na h.mwinyi ambae hajasota kama alivyosota mandela
 
Mtoa mada umetulia zako CHATO hapo na buku 7 yako kwanini uwasemee WAZANZIBARI !!?

Kwataarifa yako tuu hata masisiem wenzio Zanzibar hawamtaki huyo jamaa hivyo usiwatie kichefuchefu buree..

Zanzibar, Maalim atosha
 
Usilinajisi jina la Mandela kwa kulinganisha na vitu vya hovyo hovyo.
 
Hiyo sifa ya uMandela mbona haijawahi kuonekana akiwa mbunge na waziri huku bara??
 
Mandela ambaye hajawahi kukaa selo hata lisaa limoja !
Na alilikwepa kujiunga jeshi la kujenga Taifa kwa mujibu was sheria , pili Ni raia wa Tanganyika huyo ndio jumapili watu walimsusia msikiti mzima wakatoka wakasema hawawezi kuswali na mnafiki .
 
Mimi wala sijasoma hilo desa ila ninalojuwa Mandela alikuwa mzawa wa Africa ya Kusini lakini Hussein si mzanzibar.
 

Baba yake Mandela alikuwa Rais CCM
 
Huyoo Mtanganyika wazanzibar hatumtaki pandikizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…