Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi ni Mandela mpya wa Visiwa vya Zanzibar

Kumbe wanasiasa waongo huwa wanasema Maalim huwa anaishinda ccm ktk chaguzi zote kisha wanampora! Kumbe huwa anakosa ushindi japokuwa kashinda!!! Duh Dunia haijawahi kuwa na usawa.
😀 😀 😀 Sasa 2015 ilikuaje wakahairisha uchaguzi? Mlibanwa pabaya mana mbinu zote zenu ziliwekwa wazi. Mara hii mmetumia mbinu za pingamizi lakini nazo zimebuma 😀
 

Deo unajidanganya na huku unacheka. Pole sna .
 
Ila Shemsi vai Nahodha yule jamaa ana misimamo unajua hajakubaliana na matokeo alitaka kufanya kama Lowasa kuikimbia Ccm ila naona wamembana,hahahahah mmoja wa mpambe wake alilia machozi Dodoma Mara baada ya uteuzi wa Mwinyi

Ujuwe kuwa sisi ni nationalists . mzanzibari makini awe anatoka pemba, makunduchi au tumbatu ujuwe kuwa anauchungu na znz ondoa tofauti ya vyama. Ameumia coz ya ukoloni ulio dhahiri tunaofanyiwa. hata hao CCM wanaumia kule znz hawana jinsi la kufanya tu.
 

hawa wezi hata wawekesiku 12 hawashindi znz . labda waibe na wataiba kama wanavyoonesha dhamira yao.
 
Hivi wewe unamjua Mandela kweli wewe au umeliona hilo jina kwenye kuta za fence tu? Mtu aliyeendesha struggle kwa tabu na dhiki kwa karibu miaka 50 pamoja na kufungwa miaka 27, unamfananisha na mtu ambaye tangu anazaliwa anakula mema ya nchi hii mpaka hapo alipofikia?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…