Dkt. Joe Muriuki afariki dunia. Alikuwa Mkenya wa kwanza kujitangaza kuwa mwathirikia wa UKIMWI

Dkt. Joe Muriuki afariki dunia. Alikuwa Mkenya wa kwanza kujitangaza kuwa mwathirikia wa UKIMWI

Ikaria

Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
93
Reaction score
238
Joe Muriuki - Mkenya wa kwanza kutangaza kwamba ameathirika na virusi vya UKIMWI amefariki dunia.

Dr Joe aliathirika miaka 34 iliyopita.

20220215_104257.jpg

----
NAIROBI, Kenya, Feb 15 – Dr Joe Muriuki, the first Kenyan to go public about his HIV status after being positive for thirty-five years has died.

According to the National Empowerment Network of People living with HIV/AIDS in Kenya (NEPHAK), Dr Muriuki died at 8.00pm Monday night.

The organization stated that that he had stage four colorectal cancer and had been receiving treatment at the Kenyatta National Hospital for two years.

Muriuki was an accountant at the Nairobi City Council in September 20, 1987when he revealed his HIV status.

A few months later, his son was born, and he was HIV negative.

By this time, he had already outlived the three months assigned to him by the doctors.
 
30 years ago alikua na umri gani?
Kwahiyo mimi leo nikiwa na 40's sipaswi kuogopa ngoma kwasababu ninaweza ishi nayo miaka 30 mbele. Wakati makadirio ya kuishi mTanganyika akiwa anapumua ni 55 eehhhh....[emoji849][emoji41]
Jichanganye ndipo utajua hujui!
Sahivi kuna colabo la ukimwi analog, corona outoVasion Na ukimwi pro max !!

Hapo ni dimba pasipo mashabiki kina Cancer, maralia na presha hawajaingia kushangilia gemu!

Mziki wake siyo wa kitoto! Ni full mjegejo mwanzo mwisho!
 
Dah! Alikua bonge la jasiri maana enzi hizo kujulikana una ngoma, ulikua unatengwa wewe na watu wako wote, unasemwa kote kote na kuhukumiwa na kuonwa kama mdangaji aliyekubuhu.....unyanyapaa balaa.
 
30 years ago alikua na umri gani?
Kwahiyo mimi leo nikiwa na 40's sipaswi kuogopa ngoma kwasababu ninaweza ishi nayo miaka 30 mbele. Wakati makadirio ya kuishi mTanganyika akiwa anapumua ni 55 eehhhh....[emoji849][emoji41]

Afrika yetu hii ukishafikisha 50 ndio mwili huanza vijimambo vya hovyoo, usijichanganye, halafu kuna aina mpya ya UKIMWI imegunduliwa ambayo inakutafuna fasta. Hawa hawakawii kubuni haya mavitu maana tunazaliana sana.
 
Jichanganye ndipo utajua hujui!
Sahivi kuna colabo la ukimwi analog, corona outoVasion Na ukimwi pro max !!

Hapo ni dimba pasipo mashabiki kina Cancer, maralia na presha hawajaingia kushangilia gemu!
Usintishe bana....
 
Back
Top Bottom