Uchaguzi 2020 Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, the heavyweight heaven sent President for Tanzania

View attachment 1594491
Hawa watoto wa kimasikini wamewakosea nini nyie MiCCM?

Wenzie walipokua bungeni kuwasilisha wananchi wao na kudai maendeleo yao yeye alikua anatoka nje na kwenda Kula bata halafu sasaivi anaongeaongea tuu.

Mwambie heche hiyo ni aibu yake.... na mtu mzima akivuliwa nguo huchutama kuficha aibu yake sio aanze kukimbia uchi!
 
Hiyo ni aibu ya matapeli was kisiasa na sio yeye.
 
Hiyo ni aibu ya matapeli was kisiasa na sio yeye.
Unakuaje muwakilishi wa wananchi wasiokua na madarasa miaka5!!? Kwa hiyo alikua anasubiri kampeni zianze ndio ajue shida za wananchi wake. AIBU YAKE!!
 
Magufuli is our asset, is an "asset" for Tanzanian people and African at large. has been proved to be the best president in Africa.
Sio afrika tuu Comred. Huyu ni rais bora wa Karne
John Pombe Magufuli kiboko ya COVID 19 duniani
 
Hakuna Kiongozi anayeletwa na Mungu siku hizi hao walioletwa na Mungu waliishia kwenye vitabu vya dini, sasa hivi ni sheria za kimataifa au figisu zinamuweka mtu madarakani, viongozi walioletwa na Mungu walijulikana kabla kwa maono ya wazee kwa Mambo waliyofanya kumuuliza Mungu na viongozi wa Dini , ishara zilifanywa kuashiria huyu ndiye Mungu aliyetupa Au siyo aendelee mambo yake.
 
duuuh
 
Mzee wa Utopolo
 

Attachments

  • 2583101-ea5eaf7914ad600f205953216dc29b2b.mp4
    4.6 MB
kingereza cha kugundisha na gundi🙉🙈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…