Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,535
- 2,226
Hivi hizi theory ni Kafulila anajijiandikia mwenyewe au amemwajiri mtu wa kufanya hiyo kazi?==
Ukimsikiliza vizuri Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila ukamsikiliza na huyu Dkt Bravious Kahyoza utagundua hawa jamaa wanamadini sana vichwani mwao tutake tukatae.
Hapa Dkt Bravious Kahyoza anasema kama Serikali itakuwa serious na Ubia basi itapunguza kitu linaitwa Fiscal hole au black hole ya Serikali kwani Miradi Mingi hasa ya kibiashara itabebwa na Sekta binafsi na hivyo kupunguza hii nakisi ya bajeti ya Serikali.
Msikilize mpaka mwisho,
View attachment 3374131
Hapo Kafulila kaongea theory gani?Hivi hizi theory ni Kafulila anajijiandikia mwenyewe au amemwajiri mtu wa kufanya hiyo kazi?
MPINA HOI KABISA AISEEE
Ila ni theory za kweliHivi hizi theory ni Kafulila anajijiandikia mwenyewe au amemwajiri mtu wa kufanya hiyo kazi?
Napenda Uzalendo wa Mbunge Mpina
Huyu jamaa kama ni Kafulila aisee==
Ukimsikiliza vizuri Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila ukamsikiliza na huyu Dkt Bravious Kahyoza utagundua hawa jamaa wanamadini sana vichwani mwao tutake tukatae.
Hapa Dkt Bravious Kahyoza anasema kama Serikali itakuwa serious na Ubia basi itapunguza kitu linaitwa Fiscal hole au black hole ya Serikali kwani Miradi Mingi hasa ya kibiashara itabebwa na Sekta binafsi na hivyo kupunguza hii nakisi ya bajeti ya Serikali.
Msikilize mpaka mwisho,
View attachment 3374131
Huyu jamaa pamoja na uccm wake lkn yupo vzr,kakataa kumlamba mfalume miguuππππ
Huyu jamaa kama ni Kafulila aisee
Jamaa amechoka kabisa kabisa
Sio hasira tu za kunyimwa cheo?Huyu jamaa pamoja na uccm wake lkn yupo vzr,kakataa kumlamba mfalume miguuππππ
Zipo mtaaniHivi hizi theory ni Kafulila anajijiandikia mwenyewe au amemwajiri mtu wa kufanya hiyo kazi?
Hamna,fuatilia mienendo yake utajua. Mwamba toka muda tu anapiga π οΈ π οΈ π οΈ π οΈSio hasira tu za kunyimwa cheo?
Yule CCM haimfaiHamna,fuatilia mienendo yake utajua. Mwamba toka muda tu anapiga π οΈ π οΈ π οΈ π οΈ
HoiJamaa amechoka kabisa kabisa