Dkt. Kahyoza: Ubia unaziba Fiscal hole ya Serikali

hii nafasi ya kafulila angestahili kupewa Eng Evariste Ndikilo, huyu wakati akiwa mkuu wa mkoa wa pwani kajenga viwanda mkoa mzima, huyu kafulila kawa mwenezi bora ahamie kwenye chama asaidizane na amosi makalla
Hiyo ni kazi ya TIC
 
Kasema madini sana huyu jamaa
 
PPP ndio mpango mzima hapo baadae
 
Shida sio ubia, shida ni contract terms.

Kama kuna maeneo private has to do it wafanye cha msingi ni kuelewa maeneo ya ‘public goods’ na ‘merit goods ni yao’

Wao hata barabara za kuchochea uchumi wanataka ziwe toll charged, na waziri taahira kama Mwigulu anadhani, that’s justifiable.

Na kwa mtu kama Kitila labda kama tunataka kujifurahisha tu otherwise he hasn’t the wit to plan nor evaluate and analyse economic goals given given to hizo akili hata.

Kitila hata kwa shahada yake ya psychology, bila mods wa JF. Kubadili maandishi yangu kwa hoja na mtwanga (naongelea psychology).

Huko kwenye economic ndio kabisa.
 
Shida sio ubia, shida ni contract terms.

Na serikali isiyotambua yepi ni “public goods, merit goods na PPP”

Ndio atashinda ila kwa uongozi wa huyu mama come 2030 huo ndio utakuwa uchaguzi wa vurugu,

Kwa sababu anaenda haribu nchi mno kiasi ambacho watanzania uvimilivu wao utakuwa kikomo.

Mungu atupe, uhai na uzima.

I am never wrong.
 
Jamaa Yuko sawa
 
Nzuri kidogo
 
Sekta binafsi inakaribishwa kidogo safi
 
Nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…