johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu yani inasikitisha sana..Hivi Tanzania kuna tatizo gani na documents
Vitambulisho vya NIDA,PASSPORT, HATI,VYETI VYA KUZALIWA vyote kuvipata ni msululu
Tunaishukuru serikali ya ccm kwa kuwawezesha hata wahamiaji haramu kumiliki kitamvulisho cha mpigakura
Au wanachanja maji kama Uganda,lakini mbona mi naona hakuna umuhimu wa chanjo kama huna safari ya ughaibuniMkuu yani inasikitisha sana..
Unapata chanjo halafu unawaambia watu eti vyeti bado havijatoka Dodoma..
Nimemuuliza jamaa yangu amechanja Dodoma yeye anasema wameambiwa vyeti vinaandaliwa Wizarani..
Yaani longolongo mtaani hadi ikulu..
Shame.
😲😲🤣🤣Cheti Cha kuwa zombie ukose SI inauma sana
Inagharama gani kuchapisha kijikaratasiMkurugenzi wa elimu kwa umma wizara ya afya Dr Kasangala amesema kwa sasa mkazo umewekwa kwenye kuchanja ili kwenda na muda then watu wote waliochanjwa watapatiwa vyeti vyao kwa utaratibu uliopangwa na watapewa taarifa.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Certificate zinatengenezwa na madaktari na chanjo inafanywa na madaktari. Tulieni kidogo hii ni bongo.Mkurugenzi wa elimu kwa umma wizara ya afya Dr Kasangala amesema kwa sasa mkazo umewekwa kwenye kuchanja ili kwenda na muda then watu wote waliochanjwa watapatiwa vyeti vyao kwa utaratibu uliopangwa na watapewa taarifa.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Chanjo milioni Moja kwa watu milioni sitiniMkurugenzi wa elimu kwa umma wizara ya afya Dr Kasangala amesema kwa sasa mkazo umewekwa kwenye kuchanja ili kwenda na muda then watu wote waliochanjwa watapatiwa vyeti vyao kwa utaratibu uliopangwa na watapewa taarifa.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Mimi cheti cha kuzaliwa nilishajisemea sitasumbuka kufuatilia.Hivi Tanzania kuna tatizo gani na documents
Vitambulisho vya NIDA,PASSPORT, HATI,VYETI VYA KUZALIWA vyote kuvipata ni msululu
Tunaishukuru serikali ya ccm kwa kuwawezesha hata wahamiaji haramu kumiliki kitamvulisho cha mpigakura
Hapo ndy watu wanakapopata mwanya wa kupata vyeti bila kuchanja.Mkurugenzi wa elimu kwa umma wizara ya afya Dr Kasangala amesema kwa sasa mkazo umewekwa kwenye kuchanja ili kwenda na muda then watu wote waliochanjwa watapatiwa vyeti vyao kwa utaratibu uliopangwa na watapewa taarifa.
Source: ITV Malumbano ya Hoja