Dkt Kigwangala: Sugu ni Mwanangu sana na mwanafamilia siwezi kumuombea kifo Kwa Sababu yoyote ile au Chanzo chochote kile!

Dkt Kigwangala: Sugu ni Mwanangu sana na mwanafamilia siwezi kumuombea kifo Kwa Sababu yoyote ile au Chanzo chochote kile!

Chakubabga
 
Attachments

  • JamiiForums-1234616416.jpeg
    JamiiForums-1234616416.jpeg
    95.7 KB · Views: 1
Kwanini aseme hivyo? Kwani kuna mtu anamuombe mtu yeyote kifo hata kama sio ndugu, au rafiki au mwananchi yeyote tu, yaani umjue mtu usimjue, kuna mtu anamuombea mwezanke kifo? Lugha za watu wapuuzi kabisa hizi..!!!
Maccm wengi wamemuombea Sugu kifo kwa kisago alichopata toka kwa IGP mtarajiwa Usaadh Awadh.
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala amesema Sugu kwake ni kama mwanafamilia hivyo hawezi kumuombea kifo Kwa Sababu yoyote ile

Mlale Unono 😀
Kigwa is a confused creature

Nadhani ile mitambiko na mauganga inamla kichwa
 
Kwani kuna binadamu mkamilifu anayemuombea mwenzake ugonjwa na umauti ?!!

Hana hoja
 
Kwanini aseme hivyo? Kwani kuna mtu anamuombe mtu yeyote kifo hata kama sio ndugu, au rafiki au mwananchi yeyote tu, yaani umjue mtu usimjue, kuna mtu anamuombea mwezanke kifo? Lugha za watu wapuuzi kabisa hizi..!!!
Hakikaaa...

Umeona kamarada ee?
 
Back
Top Bottom