johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jibu hoja yake wewe.Anajulikana Kama changamsha genge ukipenda mwite mzee wa nje ya box..
Unakuta kijijini nzega Kuna uhaba wa madawati yaan wanafunzi wanakaa chini na wanakijiji wake wanachangia maji na mifugo very shame..
Huyo Ngwangwalla hana akili.Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dr Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema
Kigwa anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule
Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla
Ahsanteni 😂😂🌟
Sasa nimeamini kuwa Hamisi ni Mjinga hajui kilichomwondoa Zitto chadema au anajizima UfahamuNi wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dr Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema
Kigwa anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule
Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla
Ahsanteni [emoji23][emoji23][emoji93]
Kwani Hujui Hamis Huwa Anajisemesha TuVipi suala la fomu moja ya urais ndani ya chama chake hajaligusia?
Ndio maana mama Samia kamfungia tinted sababu ya undumilakuwili..Jibu hoja yake wewe.
Hivi lile likinyago lake lipo wapiKwani Hujui Hamis Huwa Anajisemesha Tu
Ajibu Vitumbua?Jibu hoja yake wewe.
Burigi Chato, Mbuga Ya MzilankendeHivi lile likinyago lake lipo wapi
Yule mdori kule mjengoni analalaga wapi🤣🤣Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dr Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema
Kigwa anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule
Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla
Ahsanteni 😂😂🌟
Mavi hayajibiwi, haondoki mtu hapaJibu hoja yake wewe.