Dkt. Kigwangalla: Naamini Waziri Nape hataufungia mtandao wa Twitter kwa sababu Vijana wengi wamejiajiri humo na ni haki yao

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Dr Kigwangalla anesema anaamini kabisa Waziri Nape hataufungia mtandao wa Twitter au X nchini Tanzania

Vijana wengi wamejiajiri twitter na ni haki yao ya kimsingi hivyo Naamini Nape atafanya maamuzi sahihi ya kutofungia twitter, amesisitiza Daktari Bingwa Kigwangalla ukurasani X

Mlale Unono 😄😄

=====

"I trust Waziri Nnauye_Nape shall make the right decision. People earn their living on Twitter, some use it for educational purposes and others get information (citizen journalism), and therefore, to ban it is to infringe the rights of the people to information…"

1718652938989.png

Pia soma:
 
Kigwangala ana akili sana na ametoa ushauri mzuri, lkn tatizo anatoa ushauri kwa bumunda.
 
Ujue Kigwa hata Leseni ya udaktari hana, ni Dr wa shule tu kwamba alimaliza MD ila hakuwahi kwenda intern nadhani.
 
Aufungie kwa lipi, ifike mahali tuongozwe na sheria zinazoeleweka

Hawa viongozi tunawapa sana mamlaka ya kufanya wanavyoamua wao
Mkuu elimu ya Nape haieleweki, uwezo wake wa kupambanua mambo ni mdogo sana,bado anamihemuko kama ya vijana wa 20's, tegemea lolote.

Toka enzi za Kikwete, JPM na SSM, sijawahi kumkubali Nape
 
Dr Kigwangalla anesema anaamini kabisa Waziri Nape hataufungia mtandao wa Twitter au X nchini Tanzania

Vijana wengi wamejiajiri twitter na ni haki yao ya kimsingi hivyo Naamini Nape atafanya maamuzi sahihi ya kutofungia twitter, amesisitiza Daktari Bingwa Kigwangalla ukurasani X

Mlale Unono 😄😄
Hatutaki Ushoga ifungwe
 
Tatizo la twiter ni baada ya kuitwa x. Na kuwaverify watangaza ngono akina nani sijui wakuache, mara sijui nani utamu.

Binafsi hadi leo sijaupdate app bado inasoma twiter na sitarajii kuiupdate wakitaka wafunge tu account. Silipendi hilo jina la x.
 
Sasa aliongozaje mgomo wa madaktari Muhimbili kama hakuwahi kwenda intern? 😂😂
Nimeweka “nadhani” hapo, unless kiswahili ni second language kwako. Basi inawezekana intern hakumaliza na ndo maana hana leseni. Portal zipo za kuangalia online, unaweza ukaangalia mwenyewe.
 
Dr Kigwangalla anesema anaamini kabisa Waziri Nape hataufungia mtandao wa Twitter au X nchini Tanzania

Vijana wengi wamejiajiri twitter na ni haki yao ya kimsingi hivyo Naamini Nape atafanya maamuzi sahihi ya kutofungia twitter, amesisitiza Daktari Bingwa Kigwangalla ukurasani ...
Mimi sio mshabiki wa Mtandao wa X na Sina akaunti huko, lakini naamini kwa dunia ya sasa ni USHAMBA kufungia mtandao kisa eti sijui nini na nini. Kwani kama ni kuhamasisha ushoga, unalazimishwa kuyasoma au kiyaona ya ushoga?
 
Nimeweka “nadhani” hapo, unless kiswahili ni second language kwako. Basi inawezekana intern hakumaliza na ndo maana hana leseni. Portal zipo za kuangalia online, unaweza ukaangalia mwenyewe.
Leseni Unaweza kunyang'anywa tu Bwashee 😄
 
Kigwangala ana akili sana na ametoa ushauri mzuri, lkn tatizo anatoa ushauri kwa bumunda.
Mkuu wafananao huruka pamoja!! Hakuna mwenye unafuu. Hapo anaonekana angalau anaanza kupata ufahamu lakini ni kwa sababu hayupo mezani ndani, tupo naye huku chini ya mti juani!!!! Machozi ya mamba hayo!!!
 
Suala la kufungiwa Mtandao wa X zinapotosha.

Taarifa zinazosambaa hapa JamiiForums kuhusu Mtandao huo kwenda kufungiwa zimezongwa na Siasa, more so, Misleading.

Mlijengewa Data center Tanzania. Tutumie hizo kujijengea Mitandao yetu wenyewe ya Kijamii inayokidhi matakwa yetu basi!

Au ndio yaleeee "Teknolojia hamna" ?
 
Dr Kigwangalla anesema anaamini kabisa Waziri Nape hataufungia mtandao wa Twitter au X nchini Tanzania

Vijana wengi wamejiajiri twitter na ni haki yao ya kimsingi hivyo Naamini Nape atafanya maamuzi sahihi ya kutofungia twitter, amesisitiza Daktari Bingwa Kigwangalla ukurasani X

Mlale Unono 😄😄

=====

"I trust Waziri Nnauye_Nape shall make the right decision. People earn their living on Twitter, some use it for educational purposes and others get information (citizen journalism), and therefore, to ban it is to infringe the rights of the people to information…"

View attachment 3019628

Pia soma:
Twitter imekuwa ni mwiba mkali kwa CCM na matapeli wengine
 
Hatutaki Ushoga ifungwe

Wewe kama utakuwa shoga, ni kwa mapenzi yako, usisingizie mtandao wa X.

Na yule RC aliyembaka na kumlawiti mnachuo, nadhani atajitetea kuwa ni kutokana na mtandao wa X!!
 
Back
Top Bottom