johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri wa maliasili mh Kigwangalla amesema hapa nchini sekta ya utalii ndio imeathirika sana na uwepo wa Corona ukilinganisha na sekta nyingine.
Mashirika ya ndege yamesimamisha safari, mahoteli yamefungwa, watalii wamefuta safari na Hifadhi zetu zinakosa ada za watalii ili ziweze kujiendesha, amesema.
Dr Kigwangalla amesema kwa sasa serikali inafanya tathmini kuona athari zinazoweza kujitokeza katika uchumi wa dunia, wa taifa na wa mtu mmoja mmoja kufuatia janga hili la Corona na wananchi mtaelezwa yanayojiri.
Chanzo: TBC Aridhio