johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio zilihamasisha hao watalii waliofuta safari!Asitake kututoa kwenye msitali vipi zile bl.2.5,walizoenda kuchezea zimeludishwa?
pitisheni panga kwenye mishahara, posho na allowance za watumishi wa tanapa, ncca na nyingine za utalii hawatakufa hao muone km hizo taasisi zitashidwa kujiendesha. muda mwingine lazima pia kujua chungu tamu ya sehemu za kazi. wasizoee tamu tu. watumishi wa almashauri wao wanaishi kwa mishahara kidogo tu na maisha yanaenda tu.Waziri wa maliasili mh Kigwangalla amesema hapa nchini sekta ya utalii ndio imeathirika sana na uwepo wa Corona ukilinganisha na sekta nyingine.
Mashirika ya ndege yamesimamisha safari, mahoteli yamefungwa, watalii wamefuta safari na Hifadhi zetu zinakosa ada za watalii ili ziweze kujiendesha, amesema.
Dr Kigwangalla amesema kwa sasa serikali inafanya tathmini kuona athari zinazoweza kujitokeza katika uchumi wa dunia, wa taifa na wa mtu mmoja mmoja kufuatia janga hili la Corona na wananchi mtaelezwa yanayojiri.
Chanzo: TBC Aridhio
We thubutu waitoe wapi,wasinge omba msaada kwa wananchi wake..nchi nyengine sirikali ndio wanatoa misaada kwa wananchi wake ila bongo wananchi ndio wanaisaidia serikali.bongo inaongozwa na vilaza.Uzuri rais alishasema tuna akiba ambayo hata tukakaa miezi mitano bila kuingiza hata shilingi tunatoboa. Huu ndio muda muafaka wa kutokuandikia mate.
Dokta amekusikia!pitisheni panga kwenye mishahara, posho na allowance za watumishi wa tanapa, ncca na nyingine za utalii hawatakufa hao muone km hizo taasisi zitashidwa kujiendesha. muda mwingine lazima pia kujua chungu tamu ya sehemu za kazi. wasizoee tamu tu. watumishi wa almashauri wao wanaishi kwa mishahara kidogo tu na maisha yanaenda tu.
Umefurahia mwenyewe, hapo unahamu ashindwe ili upige kelele.Uzuri rais alishasema tuna akiba ambayo hata tukakaa miezi mitano bila kuingiza hata shilingi tunatoboa. Huu ndio muda muafaka wa kutokuandikia mate.
Waziri wa maliasili mh Kigwangalla amesema hapa nchini sekta ya utalii ndio imeathirika sana na uwepo wa Corona ukilinganisha na sekta nyingine.
Mashirika ya ndege yamesimamisha safari, mahoteli yamefungwa, watalii wamefuta safari na Hifadhi zetu zinakosa ada za watalii ili ziweze kujiendesha, amesema.
Dr Kigwangalla amesema kwa sasa serikali inafanya tathmini kuona athari zinazoweza kujitokeza katika uchumi wa dunia, wa taifa na wa mtu mmoja mmoja kufuatia janga hili la Corona na wananchi mtaelezwa yanayojiri.
Chanzo: TBC Aridhio
.pitisheni panga kwenye mishahara, posho na allowance za watumishi wa tanapa, ncca na nyingine za utalii hawatakufa hao muone km hizo taasisi zitashidwa kujiendesha. muda mwingine lazima pia kujua chungu tamu ya sehemu za kazi. wasizoee tamu tu. watumishi wa almashauri wao wanaishi kwa mishahara kidogo tu na maisha yanaenda tu.
Ni kweli kabisa....Kwani mpaka sasa ameweza mpaka useme nataka ashindwe?