Dkt. Kigwangalla: Serikali haimsaliti Rais aliyepita kuhusu Nyungu

Dkt. Kigwangalla: Serikali haimsaliti Rais aliyepita kuhusu Nyungu

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
"Huwezi kusema serikali nzima inamsaliti Rais wetu aliyetangulia mbele ya haki. Mwaka jana wakati tunatumia ‘nyungu’ kulikuwa hakuna taarifa za chanjo, kulikuwa hakuna hata mmoja wetu aliyejua dawa za kutibu UVIKO-19, kirusi kilikuwa kipya na taarifa zake hatukuwa tunazijua vizuri"

Mh. Hamis Kigwangala

Capture.PNG
 
Kwa baada ya magufuli kuondoka Sasa hivi kuna hizo dawa za kutibu Hiyo UVIKO-19 .?

Na kuhusu chanjo tumeanza kusikia toka kitambo ina maana ndani na hizi siku ngapi baada ya magufuli kuondoka ndipo chanjo imegunduliwa kweli?

Mwisho lazima tuelewe kwa sasa tupo utawala mwingine haya mambo ya awamu iliyopita kila siku yanachosha.
Hatuwezi kurudisha siku nyuma.
 
Mkuu niuzie hicho kiswaswadu kwenye avatar!!
 
Nao watuache bwana, Alisalitiwa YESU KRISTO, sembuse huyo kiumbe? Na hili neno kumsaliti mbona awamu hii ndio linatumika sana toka kwa MWENDAZAKE MASALIA?

Mbona kipindi chake alipokuwa kila sehemu ana mnanga jk hatukusema kuwa ana msaliti? Ila Mama leo kila anachofanya kwa mtizamo wake, anaonekana ana msaliti!

Hizi ni awamu mbili tofauti sio kwamba jiwe anaumwa atarudi labda mama amemshikia tu, jamani zama za jiwe tayari, zimekwisha.
 
Jamaa bana hataki kukubali kuwa huu utawala umempa mgongo pamoja na ilo ni moja ya vijana walio haribia vijana wengine kwa ulevi wa madaraka
 
"Huwezi kusema serikali nzima inamsaliti Rais wetu aliyetangulia mbele ya haki. Mwaka jana wakati tunatumia ‘nyungu’ kulikuwa hakuna taarifa za chanjo, kulikuwa hakuna hata mmoja wetu aliyejua dawa za kutibu UVIKO-19, kirusi kilikuwa kipya na taarifa zake hatukuwa tunazijua vizuri"

Mh. Hamis Kigwangala
Uongo wa hali ya juu. Jaribu kutafuta muda ujisomee ili usiaibishe proffession ya udakitari!
 
Hapa kwangu ni maeneo wa kujifukiza ....na hii ya awamu ya tatu itapita tu
 
Hivi wivu wake kwa "Dokta" Mwaka uliishia wapi?Yaani mtu kuitwa Dokta tu kwake ikawa nongwa?😝😝😝😝
 
"Huwezi kusema serikali nzima inamsaliti Rais wetu aliyetangulia mbele ya haki. Mwaka jana wakati tunatumia ‘nyungu’ kulikuwa hakuna taarifa za chanjo, kulikuwa hakuna hata mmoja wetu aliyejua dawa za kutibu UVIKO-19, kirusi kilikuwa kipya na taarifa zake hatukuwa tunazijua vizuri" Mh. Hamis Kigwangala
Hivi aliyesema kuwa chanjo ni vita ya kiuchumi alikuwa nani?
 
Back
Top Bottom