Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kwa baada ya magufuli kuondoka Sasa hivi kuna hizo dawa za kutibu Hiyo UVIKO-19 .?
Na kuhusu chanjo tumeanza kusikia toka kitambo ina maana ndani na hizi siku ngapi baada ya magufuli kuondoka ndipo chanjo imegunduliwa kweli?
Mwisho lazima tuelewe kwa sasa tupo utawala mwingine haya mambo ya awamu iliyopita kila siku yanachosha.
Hatuwezi kurudisha siku nyuma.
Nataka kuendelea kuwa relevant!Why huyu Kigwangala hawezi nyamaza?
Anatafuta cheoWhy huyu Kigwangala hawezi nyamaza?
Uongo wa hali ya juu. Jaribu kutafuta muda ujisomee ili usiaibishe proffession ya udakitari!"Huwezi kusema serikali nzima inamsaliti Rais wetu aliyetangulia mbele ya haki. Mwaka jana wakati tunatumia ‘nyungu’ kulikuwa hakuna taarifa za chanjo, kulikuwa hakuna hata mmoja wetu aliyejua dawa za kutibu UVIKO-19, kirusi kilikuwa kipya na taarifa zake hatukuwa tunazijua vizuri"
Mh. Hamis Kigwangala
My thoughts exactlyWhy huyu Kigwangala hawezi nyamaza?
Huyu naye anyamaze sasa, haitampunguzia kitu.
Hivi aliyesema kuwa chanjo ni vita ya kiuchumi alikuwa nani?"Huwezi kusema serikali nzima inamsaliti Rais wetu aliyetangulia mbele ya haki. Mwaka jana wakati tunatumia ‘nyungu’ kulikuwa hakuna taarifa za chanjo, kulikuwa hakuna hata mmoja wetu aliyejua dawa za kutibu UVIKO-19, kirusi kilikuwa kipya na taarifa zake hatukuwa tunazijua vizuri" Mh. Hamis Kigwangala
Kajamaa kalikuwa kaongo hadi basi.Kalikuwa kanatufungasha kama mizigo.😝😝😝😝Hivi aliyesema kuwa chanjo ni vita ya kiuchumi alikuwa nani?
Kajamaa kalikuwa kaongo hadi basi.Kalikuwa kanatufungasha kama mizigo.😝😝😝😝Hivi aliyesema kuwa chanjo ni vita ya kiuchumi alikuwa nani?