Kwa baada ya magufuli kuondoka Sasa hivi kuna hizo dawa za kutibu Hiyo UVIKO-19 .?
Na kuhusu chanjo tumeanza kusikia toka kitambo ina maana ndani na hizi siku ngapi baada ya magufuli kuondoka ndipo chanjo imegunduliwa kweli?
Mwisho lazima tuelewe kwa sasa tupo utawala mwingine haya mambo ya awamu iliyopita kila siku yanachosha.
Hatuwezi kurudisha siku nyuma.