johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni vichaa tu ndiyo watakaoendana na kauli zakeKigeugeu
Bwashee unataka kuwa dalali?Chanjo ije faster hakuna namna.
Angepewa ishu ya meno ya temboWanajimwambafy baada ya Kayafa kufa.Angeongea haya enzi za Kayafa angepandishwa golgotha fasta sana!
yes nadalalia mishumaa tuliyoiba kwenye kaburi kule Burigi.Bwashee unataka kuwa dalali?
🤣🤣🤣Angepewa ishu ya meno ya tembo
Ile aliyocholi mchungaji Msigwa?yes nadalalia mishumaa tuliyoiba kwenye kaburi kule Burigi.
Mshahara wa ubunge milioni 11+uwaziri milioni 9+posho na safari za uwaziri milioni 10=30 milioni ndani ya mwezi mmoja.Kigwangala akiwa waziri wa maliasili na utalii kupitia Twitter alitweet kwamba Kujifukiza ni tiba na kinga ya covid 19 na atashawishi hoteli zote za kitalii kutenga eneo la kujifukiza
Akaenda mbali zaidi na kusema inatakiwa tuuze huo ugunduzi wetu.
Ndani ya mwezi baada ya Magufuli kufariki akasema Mashine ya Kujifukiza Mhimbili ivunjwe. Tukiwa tunataka kumaliza mwezi wa pili anasema tuchangamkie chanjo.
Somo ninalolipata ni kwamba ukipata chansi ya kua mnafikia na unatengeneza zaidi ya 11M kwa mwezi we kua mnafiki tu
Naheshimu kauli yako. Kwa heshima na taadhima nakuombea urudi mwaka 1940, au hata wakati wa Musa akiwaongoza Wayahudi jangwani.Hatuhitaji chanjo!! Waliochanjwa haikuwasaidia!! Sisi Mungu ametukinga mwenyewe!! Bila kinga ya Mungu hali ingekuwa mbaya sana! Utukufu ubaki kwa Mungu na siyo kuupunguza na kuigawia chanjo kiasi. Hivi mnaona Tanzania hatujapata shida kubwa kwenye wimbi la pili si bure, ni Mungu ametukinga. Kama Taifa tumepona, kama mtu binafsi inategemea kama unaamini uponyaji wa Mungu kwa nchi yetu! Ukiamini unabaki salama na mzima, kama hauamini corona inakuhusu!! maana umeikuza juu ya Mungu aliye hai.