#COVID19 Dkt. Kigwangalla: Uchumi wa dunia utakua kwa kasi baada ya COVID-19 kudhibitiwa, tuchangamkie CHANJO sasa

Akawaombe radhi kwanza wale askari wanyama pori aliokuwa anawaambia 'mzaha au sio mzaha' huku anawakung'uta push ups
Kitaaluma Kigwangala ni mganga wa Tina asili,ndiyo maana slivyokuwa Naibu waziri wa Afya alimdumbua Sana Dr.Mwaka,
He alishaludisha pesa walixoiba kipitia sanamu hii ambayo halifanani na mhusika?
 
Aliyemwambia Tanzania kuna Corona Nani?
mpaka tuhitaji chanjo
 
Kwamba Tz tuna hali mbaya ya korona kiasi cha kuhitaji chanjo haraka/kwa lazima au ndo kufuata mkumbo wa mataifa makubwa?
 
Sasa kwani amesikia wapi waliochanjwa hawavai tena Mask - Barakoa na kuacha Social Distance? Ni kama vile chanjo haileti matokeo chanya!!! Nchi zingine walianza kuchanja chanjo alafu wakasema hazileti matokeo chanya wakaziacha. Sisi tutafanya utafiti kwanza sio kukimblia tu chanjo. "No research No Right to speak"
 
Umenena Mkuu. Unafiki uliovuka mipaka.
 
Utakuta huyo jamaa ndio anatumia I'd ya Jasmoni Tegga 😆😆😆
 
Daktari gani huyu kilaza...
Hiyo chanjo achanje yeye na familia yake.
 
Hapana si daktari wa binadamu ni bwana afya
 
Daktari gani huyu kilaza...
Hiyo chanjo achanje yeye na familia yake.

Tunaoihitaji chanjo tuko wengi. Tungeendelea kuihitaji hata kama Jiwe mwenyewe angesema kabadili mawazo.

Kumbuka 2+2 = 4 bila kujali wapumbavu wangapi walisema vinginevyo jana.
 
Duniani maajabu - hawa wazee wa kupigia debe nyungu leo hii wamegeukia chanjo!! Ama kweli ukishaondoka duniani na lako halipo.
 
Kwann hakuwa sahihi toka enzi

Ni wazi kwa Daktari huyu wa binadamu huo ulikuwa unafiki uliopitiliza. Yote ilikuwa katika kumfurahisha bwana yule huku wakiwatelekeza wasioweza kujihami hatarini.

Kwa ujumla wake ni sahihi kum blast opportunist uchwara huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…