Dkt. Kimei: Mchakato wa utoaji mikopo ya Halmashauri ufanyiwe tathmini

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368

Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Mchakato wa kulenga vikundi haufanyi kazi duniani kote akisisitiza, "Tutumie mbinu mpya kutoa mikopo hata kwa mtu mmoja mmoja. Kutoa kwa Vikundi inaleta ugumu katika uwajibikaji".

Akichangia Mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mbunge huyo ametoa wito kwa Serikali kufanyia tathmini mchakato huo, na ikiwezekana uwepo mjadala ili kuona hatua zinazoweza kuchukuliwa.
 
Naunga mkono hoja
 
Ni kweli , Watoe tu uhuru wa kila mtu akope apendavyo.

Kama ni kikundi sawa. kama ni mmoja mmoja sawaa.
 
tulijiunga kikundi cha vijana wa 5 tukakamilisha kila kitu wakatupa mkopo wa m3 usio na riba (tunatakiwa kurudisha baada ya mwaka)

bahat mbaya kila kijana yupo mkoa tofauti na hakuna dalili ya kurudisha mkopo,

na sisi tumeonja hela ya serikal ya ccm
 
kwa hali hiyi hatuwezi move on hiyi nchi acha kabisa kiongozi mwenye mwizi mwananchi tapeli nani alaumiwe?
 
Tuunde kikundi lingine tupige hela kwangu na Mimi niweke....njoo pm nikupe mbinu
 
Hii kitu hatuipi kipaumbele, ila vita ya Ukraine na Russia. Moderator anzisheni kupini thread na kuweka recommended thread toka kwenu.
 
Wahuni wametuzidi akili
 
Naunga mkono hoja.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…