Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,009
- 2,934
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo mkoa wa Dodoma Dkt. Kinabo amefariki dunia leo katika hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo UDOM Dodoma. Sababu ya kifo Bado haijaelezwa
Tunatoa pole kwa familia na wakazi wa Dodoma. Dkt. Kinabo pia alikuwa ana hospitali yake maeneo ya uhindini ambapo alikuwa akitoa huduma bora sana za moyo.
Mchezo gani?TANZIA
Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.
pole japo hujasema changamoto ganiTANZIA
Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.
labda kupiga nyunguMchezo gani?
Bora uhamie kijijini kwenu vinginevyo utaoteza muda na kuhangaikia kwako huko nawe utakumbwa njiani.TANZIA
Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.
Poleni sanaTANZIA

Cc. NdugaiTANZIA

Zamu yako ya kuvuka mto yaja! Na mamba wako mtoni.Kwani huyo Dr na yeye alishindwa kuchukua hatua?!
Mna udhi samutimes mjue!!!
wanalala kuaminisha watu kuwa hakuna tatizo wakati watu wanapukutika Dodoma na wataalam wa afya wamekuwa hatarini zaidi
Nitue babu!Zamu yako ya kuvuka mto yaja! Na mamba wako mtoni.
"LyricDownPresserManNitue babu!
Jamani mniombee maana naona matajiri na watu wakubwa tunakufa sanaTANZIA
Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.
Mamlaka za juu zilishasema Corona sio tishio, vipimo vyetu ni fake, na kila mtu achape kazi kwa kwenda mbele. Nahisi Daktari asingeweza kuikwepa COVID.Kwani huyo Dr na yeye alishindwa kuchukua hatua?!
Mna udhi samutimes mjue!!!