Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Grandiosity
Hii unaijua wewe si ndo ulikuwa unajibia mitihani?Sasa ukiingia mtaani na yale uliyokuwa unajibia mitihani utaishia kupata frustration... No body knows grandiosity..huku mtaani ni mikakati ya kupiga mpunga tu!Sitashangaa wenye akili kama yako wengi mnaishi mkiwa na hasira hasira tu!
 
Dk. Luis Shika ameahidi kutoa Bilion 2 kuchangia mfuko wa Elimu huko Kahama

 
Dk. Luis Shika ameahidi kutoa Bilion 2 kuchangia mfuko wa Elimu huko Kahama

kuna mda zama za kuchanganyikiwa ndio hizi,huyu mzee tunapo kwenda naye hata kuja kusema na nunua tanzania
 
Hapa shida ipo yaani wameona kuliko ndalichako bora shika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…