Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Dkt. John Magufuli, mgombea urais kupitia CCM amesema akichaguliwa atatuma Tsh milion 5 ili kujenga madarasa ya shule ya msingi Ulanga ambayo mwanafunzi aliyekuwa kwenye mkutano wa kampeni alitaja kuwa changamoto.
Amesema asingeweza kutoa pale pale kwa kuwa wangesema kuwa ni rushwa ya uchaguzi na ndio sababu ya kuhakikisha kuwa atawapa baada ya kushinda uchaguzi na akifanikiwa kuchaguliwa kuwa Rais kwa muhula wa pili.
Shule ya Msingi Ulanga iko mkoani Songwe, ambako Dkt. Magufuli anaendeza mikutano yake ya kampeni kuelekea uchaguzi utakafanyika Oktoba 28.