pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Mbuga ya selou ina uwanja gani wa kimataifa!Cheki alivyo na akili Dk Magufuli mapori yalikuwa yakifuga majambazi kaweka mbuga za wanyama ukiingia tu kwenye mbuga kama sio mtalii ni risasi unadungwa PIA hizo mbuga hizo kaona hazina hazina uwanja wa kimataifa karibu na mbuga kaujenga uwanja wa ndege Chato wakitua tu na ndege zao safari kwenye mbuga zilizo jirani na uwanja
Ina uwanja wa ndege za watalii ndani ya mbuga ,Serengeti pia wana uwanja ndani ya mbugaMbuga ya selou ina uwanja gani wa kimataifa!
Bangosha, haujambo?Hayo maeneo yanapita ukubwa wa mbuga za Burigi na Ibanda na Rumanyika zilizoko kanda ya ziwa ?
Bangosha, habari yakoWhat a joke before independence kulikuwa na shughuli za kitalii maeneo hayo.
Wewe unafikiri utalii ni kupanda tu mlima wa Kilimanjaro ?Tourism is a combination of many things.
Singapore kaeneo kadogo kama wilaya ya Temeke inapata watalii milioni 20 kwa mwaka.
Ana wivu sana huyu JiweSehemu ambazo zina asili ya utalii na ambazo hazihitaji nguvu kubwa kuinua utalii katika hayo maeneo zimetelekezwa badala yake wanaenda kutumia pesa nyingi sehemu nyingine...
Tunaongelea Mbuga mpya zilizoanzishwa kipindi cha SERIKALI ya awamu ya Tano ya Dr Magufuli kanda ya ziwaSasa Magufuli kawaambia nini kitakuwa kivutio na nani atakuwa mtalii?!
Watalii wanakuja serengeti kila siku Magufuli ndiye huwaleta?!
Kabla ya Magufuli watalii walikuwa hawaji serengeti?!
Hamna hoja mnabwabwaja tu.
Mfano?Sehemu ambazo zina asili ya utalii na ambazo hazihitaji nguvu kubwa kuinua utalii katika hayo maeneo zimetelekezwa badala yake wanaenda kutumia pesa nyingi sehemu nyingine...
KwenuMfano?
Taja
Na wewe kwa akili yako ndogo ukaamini? Ndio maana Kikwete aliwaambia Akili ya kuambiwa changanya ya Kwako.. Chato ikawe kama Arusha na Kilimanjaro kweli? Yani mtalii atoke London aje Chato kutalii? Huo uwanja wa Chato baada ya yeye kustaafu mtachungia ngombe na mbuzi humoMagufuli asema serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa kama ilivyo Kilimanjaro na Arusha na aeleza kuwa utalii utainua hiyo kanda kiuchumi.
Wale mliokuwa mkibeza uanzishaji mbuga za wanyama Mwanza, Kagera na Geita na ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato mjipange upya hayo ni maandalizi kuelekea kukuza utalii mkubwa huko ambao utaongeza mzunguko wa pesa za ndani na za kigeni na ajira.
Mwanza tu pale mbuga ya saa nane Island iliyoko mjini kabisa utalii umeshika kasi kubwa sana baada ya kuhamisha wanyama toka maeneo mengine na kuwapeleka pale.
View attachment 1571327
dua la kuku kanda hiyo ya ziwa kuna mbuga zinazoungana hadi na nchi jirani kama zilivyo za serengeti na Kenya watalii waweza anzia Rwanda wakaja Tanzania au wakaanzia Tanzania wakaenda Rwanda.Na wewe kwa akili yako ndogo ukaamini? Ndio maana Kikwete aliwaambia Akili ya kuambiwa changanya ya Kwako.. Chato ikawe kama Arusha na Kilimanjaro kweli? Yani mtalii atoke London aje Chato kutalii? Huo uwanja wa Chato baada ya yeye kustaafu mtachungia ngombe na mbuzi humo
Kila la kheri!dua la kuku kanda hiyo ya ziwa kuna mbuga zinazoungana hadi na nchi jirani kama zilivyo za serengeti na Kenya watalii waweza anzia Rwanda wakaja Tanzania au wakaanzia Tanzania wakaenda Rwanda.
Hiyo airport ni kwa ajili ya utalii hawaji tu kutalii chato mbuga ya chato ni mojawapo tu ya mbuga kibao zilizoanzishwa ukanda huo
Ukimsikiliza Tundu Lissu anaongea zaidi kwa huzuni kuliko hasira sio kama anavyofanya mpinzani wake meko.Magufuli asema serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa kama ilivyo Kilimanjaro na Arusha na aeleza kuwa utalii utainua hiyo kanda kiuchumi.
Wale mliokuwa mkibeza uanzishaji mbuga za wanyama Mwanza, Kagera na Geita na ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato mjipange upya hayo ni maandalizi kuelekea kukuza utalii mkubwa huko ambao utaongeza mzunguko wa pesa za ndani na za kigeni na ajira.
Mwanza tu pale mbuga ya saa nane Island iliyoko mjini kabisa utalii umeshika kasi kubwa sana baada ya kuhamisha wanyama toka maeneo mengine na kuwapeleka pale.
View attachment 1571327
Mze acha huyo mgombea apambane mpaka kieleweke na asichoke kujaribu tena na tena.Safi sana tunataka kusikia mipango mgombea aliyonayo sio masimango tu kama anavyofanya mgombea mmoja.
Mkuu Mikoa hasa ya maziwa makuu ina rasilimali ya madini ila pesa zake zinaenda kuendeleza mikoa isiyokua na kitu km Singida na Dodoma n the likes...Tukiendeleza sera hii unayoisema ya Mwenye nacho aongezewe na asienacho abaki alivyo kuna mikoa itakua na umasikini wa kutupwa maana haina rasilimali...Sehemu ambazo zina asili ya utalii na ambazo hazihitaji nguvu kubwa kuinua utalii katika hayo maeneo zimetelekezwa badala yake wanaenda kutumia pesa nyingi sehemu nyingine...
Hivi umenielewa vizuri mkuuMkuu Mikoa hasa ya maziwa makuu ina rasilimali ya madini ila pesa zake zinaenda kuendeleza mikoa isiyokua na kitu km Singida na Dodoma n the likes...Tukiendeleza sera hii unayoisema ya Mwenye nacho aongezewe na asienacho abaki alivyo kuna mikoa itakua na umasikini wa kutupwa maana haina rasilimali...
Ni sheria gani inayosema ukiwa sio mtarii ukikutwa porini unapigwa risasi?Cheki alivyo na akili Dk Magufuli mapori yalikuwa yakifuga majambazi kaweka mbuga za wanyama ukiingia tu kwenye mbuga kama sio mtalii ni risasi unadungwa PIA hizo mbuga hizo kaona hazina hazina uwanja wa kimataifa karibu na mbuga kaujenga uwanja wa ndege Chato wakitua tu na ndege zao safari kwenye mbuga zilizo jirani na uwanja