Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Ubaguzi ganiBado anaendeleza mambo ya ubaguzi wa kikanda?!
Acha Ukabila wewe...kwani wachaga na wameru wana mbuga gani za Wamyama hadi ionekane kua ana wivu na Kaskazini? Alivyoigawa Selous Game reserve kua National Park mbona hamkusema kua ana wivu na kwamba itakufa? Patheticmbuga za kulazimisha hazidumu anawivu na kaskazini,jamaa hawapendi wachaga na wameru,hizo mbuga zake zitanyauka tu
Ina uwanja wa ndege za watalii ndani ya mbuga ,Serengeti pia wana uwanja ndani ya mbuga
kanda ya ziwa hizo mbuga tatu zinakuwa served na uwanja mmoja sababu haziko mbali mbali sana.Chato ndiko kunakuwa jirani kwao wote
Wivu unamsumbuaAcha Ukabila wewe...kwani wachaga na wameru wana mbuga gani za Wamyama hadi ionekane kua ana wivu na Kaskazini? Alivyoigawa Selous Game reserve kua National Park mbona hamkusema kua ana wivu na kwamba itakufa? Pathetic