Dkt. Magufuli hata amualike Trump kumuombea kura bado hatoshinda

Prof Koboko

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
350
Reaction score
2,550
Nimemsikiliza mzee Museveni akisema amealikwa kwenda Chato na mwishoni akamalizia kwa kumuombea kura mgombea Urais kupitia CCM ndugu JPM.

Aisee tumpe taarifa kua this time is for TUNDU, CCM imetawala miaka 59 hakuna ilichoifanyia Tanzania. Hii awamu ya 5 sioni jipya lililoleta madhara changa kubadili maisha ya Mtanzania hadi sasa zaidi ya baadhi ya ndugu zetu kupotea hatujui walipo hadi sasa na wengine kupigwa risasi.
Nasema JPM hata amualike Donald Trump wa Marekani amuombe kura hatumpigii kura.
 
mrushieni picha Robert Amsterdem
 
Kwa utafiti uliofanyikak, Uchaguzi ukifanyika kesho Rais Magufuli atashinda kwa 89%

na ukifanyika October atashinda kwa 97%

Nyie wafuasi wa lissu mkikutana wasap mnaona ikulu hii hapa [emoji1][emoji1]
Huu utafiti mmefanyia Lumumba?
 
museveni anaogopa ccm iking'olewa waganda nao watacharuka wataing'oa NRM.
 
 
Lengo la CCM siyo kushinda nafasi ya Urais, kwa sababu nafasi hiyo tayari ipo mikononi, lengo hasa ni kushinda nafasi za wabunge wote na kuongoza Halmashauri zote Nchini.
 
Umefanyika chattle
Chatto hawataki kumsikia huyo jamaa tangu awazuie kuvua samaki na kuwachomea nyavu zao
Halafu wanasema si mwadilifu kabisa na kuna kashfa ya kutembea na shemeji.

Ulishawahi kusikia duniani, Rais anajitambulisha kuwa ana mke na watoto "kadhaa?" (hawana idadi)
Ndio utambulisho wa bwana mkubwa huo na ni mkristo mwenye hofu ya Mungu.
 
Safari hii atajibeba
 
Hali inaonesha ni mbaya kwa Magufuli hadi kamwita sikiteta mwenzake kuja kumpigia kampeni kiaina. Hilo Bomba la Hoima limeshafeli kabla halijaanza na Wawekezaji Total waliahasepa. Ila kwa kutafuta gia ya Mu kuja akajifanya eti wanafufua bomba. 😆😆
 
JPM anahitajika na Watanzania huyo Trump amsaidie Tundu
 
Lengo la CCM siyo kushinda nafasi ya Urais, kwa sababu nafasi hiyo tayari ipo mikononi, lengo hasa ni kushinda nafasi za wabunge wote na kuongoza Halmashauri zote Nchini.
Ndoto za asubuhi hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…