Huenda walizingatia uteuzi maana katika uteuzi Lissu alikuwa wa mwishoHaitawasaidia. Namba 1 ingekuwa ni vyama vinavyoanza na A lakini Tume imeshinikizwa kuweka CCM kwanza! Na kuweka C nyingine mwisho kabisa (CHADEMA)! Haki iko wapi?
Sasa huyo mbunge wa Kawe CCM anatumia jina gani Rashidi au Josephat. Aweke mambo sawa watu wasijekosea ohohhhNi jambo jema!
Sio hoja kaka, kama mtu anajua kusoma na kuandika chama hata kikae mwisho atachagua chama na kiongozi anaemtakaHaitawasaidia. Namba 1 ingekuwa ni vyama vinavyoanza na A lakini Tume imeshinikizwa kuweka CCM kwanza! Na kuweka C nyingine mwisho kabisa (CHADEMA)! Haki iko wapi?
Huenda walizingatia uteuzi maana katika uteuzi Lissu alikuwa wa mwisho
Nimetoa maoni yangu na siyo nimeteteaAcha kutetea ufara. CHADEMA waliomba kuteuliwa wa mwisho? Kanuni zote za usawa duniani zinatumia alphabet.
Nimetoa maoni yangu na siyo nimetetea
Kwanini wasimjue mtu aliewapa ahadi feki?Huyo Bibi Atakae Mpigia kura Tundu Lissu Nani mkuu ?
Ninyi wengi Mnamjua Tundu Lissu ikiwemo na hawa watu Robert Amsterdam, Jeffrey Smith, Pompoe, Maria Salungi Nk Ndio Maana mnawez kumuelezea vizuri Tundu Lissu
Watu wa Vijijini hawamjui Tundu Lissu wanamskia skia tuu juu juu
Lakini ukisema MAKUFULI hakuna asie Mjua Mzee [emoji16][emoji16][emoji16]
Mpaka leo sijajua hao wazungu wanakazi nayo vipi hayo madini yenu..Hahahh
Kushoto kulia, kushoto kulia
Wapo wanaopinga jitihada zako
Wanaona Aibu wanaogopa, wanaogopa
Sina Chama Lakini Nampa MAGUFULI
Siwezi kumpa Mtu kula akaweke rehani Madini Yetu [emoji16][emoji16][emoji16]
Imeisha hiyo......
Watu wa Vijijini hawamjui Tundu Lissu wanamskia skia tuu juu juu
Lakini ukisema MAKUFULI hakuna asie Mjua Mzee [emoji16][emoji16][emoji16]
Unajuwa kura za maoni CCM kulikuwa na wagombea zaidi ya 70 kwa jimbo moja?Karatasi ya kura ili iwe fair ilitakiwa ziwe randomly printed, yaani karatasi hii chama flani kipo juu, karatasi nyingine chama kingine kipo juu, completely random. Kuweka mtu moja juu ukimpa bibi kachoka anafungua karatasi anaweka tiki moja anaondoka unahisi ataweka chini kabisa au juu?
Wa Kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza, hii ni kanuni ya kibiblia.Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema jina lake na la Mama Samia lipo juu katika karatasi za kupigia kura hivyo wananchi wasihangaike kuangalia kwingine
Amesema, "Wewe angalia juu utalikuta jina la John Pombe Joseph Magufuli, utalikuta la Mama Samia Suhulu, utakuta na box la kuweka 'tick'. Wewe weka 'tick' kunja karatasi lako, dumbukiza kwenye box nenda ukampumzike nyumbani"
Katika mkutano wa kampeni uliofanyika Korogwe Mkoani Tanga, Dkt. Magufuli amewaambia wananchi wasihangaike kuangalia kwengine kwasababu wale hawawahusu
Amewaelekza wananchi kuwa, wakati wa Uchaguzi ni wakati wa kuamua kama wanataka maendeleo au 'blah blah'
Magufuli miaka mingine mitano unapoteza akili zako bure maana TL anadai anaiweka nchi rehani.Mimi ni mtumishi wa umma. Kura yangu siwezi kuipeleka kwa kiongozi dhalimu aliyenitesa kwa miaka mitano.
Nasema hadharani kwamba nitamchagua Tundu Lissu kwa maendeleo ya kweli.
Huyo dikteta akalime nyanya chungu huko Geita.
Sawa Kula mpe JPM, ila kura mpe Lissu sawa bwasheeHahahh
Kushoto kulia, kushoto kulia
Wapo wanaopinga jitihada zako
Wanaona Aibu wanaogopa, wanaogopa
Sina Chama Lakini Nampa MAGUFULI
Siwezi kumpa Mtu kula akaweke rehani Madini Yetu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani sasa madini ni yenu ?!. Watu mnajisahaulisha mikataba mibovu isiyovunjika !!Hahahh
Kushoto kulia, kushoto kulia
Wapo wanaopinga jitihada zako
Wanaona Aibu wanaogopa, wanaogopa
Sina Chama Lakini Nampa MAGUFULI
Siwezi kumpa Mtu kula akaweke rehani Madini Yetu [emoji16][emoji16][emoji16]