Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Jina Langu Lipo Namba Moja, Usihangaike Kuangalia Kwingine

Haitawasaidia. Namba 1 ingekuwa ni vyama vinavyoanza na A lakini Tume imeshinikizwa kuweka CCM kwanza! Na kuweka C nyingine mwisho kabisa (CHADEMA)! Haki iko wapi?
Dawa yake ni kugeuza karatasi, Lodi lofa na mwanae wanakuwa namba moja
 

Attachments

  • Lodi.jpg
    37.8 KB · Views: 2
Biblia yangu inaniambia wa kwanza atakuwa wa mwisho, na wa mwisho atakuwa kwanza.

Kasome Biblia yako ( In Mwl. Mwakasege voice)
 
Haitawasaidia. Namba 1 ingekuwa ni vyama vinavyoanza na A lakini Tume imeshinikizwa kuweka CCM kwanza! Na kuweka C nyingine mwisho kabisa (CHADEMA)! Haki iko wapi?
NEC wametumia vigezo gani CCM kuwa juu ya ACT-Wazalendo? Wafahamu kwamba sio kila kilicho juu ni kizuri!
 
Wao wenyewe walimtangaza Tundu Lissu baada ya kumcharaza risasi kama tembo. So usifikiri kuwa vijijini hawamjui !! Unajidanganya
 
Lisu akifanya hivyo atakuwa hana tofauti na ccm inavyotudharau Watanzania.

Kwamba hatujui kusoma, kwamba kura tunapiga kwa maelekezo, kwamba huu ndio uchaguzi wa kwanza Tanzania, kwamba miaka yote huwa tunaoneshwa tupige wapi?

Mnaweza kutueleza na madiwani wenu wapo namba ngapi na wabunge?

Mambo ya kijinga kama haya yanafanyika kwenye Taifa lililojaa watu wasiojuwa kusoma na kuandika.

Nadhari elimu hii inahitajika zaidi huko Dodoma kulikojaa mambumbumbu.
 
Anafikiri kirahisirahisi hivyo [emoji16][emoji16]

Meko tarehe 28 tunakupiga katafunua!
 
Watu tulishatoa nakala nyingi na tumshazisambaza Geita Vijijini ili wasifanye makosa tumewaambia waangalie alama ya vidole viwili vya Chadema ili kuwajua wagombea
 
Wakati wa kushinda umefika. TUTASHINDA ili kuwaokoa waTz wenzetu waliopotea huko CCM
 
Mbumbu wewe unajifanya unajua lakini si lolote si chochote hata maisha yako ni ya kubangaiza tu.
 
Haitawasaidia. Namba 1 ingekuwa ni vyama vinavyoanza na A lakini Tume imeshinikizwa kuweka CCM kwanza! Na kuweka C nyingine mwisho kabisa (CHADEMA)! Haki iko wapi?
Mkuu me kwa upande wangu nimeona iyo ni poa sana haita wachanganya mawakala wetu mkuu kila baya na wema wake apo wamejiloga 70% ya wapiga kura wa upinzani ni wale walio na elimu tofauti na wa ccm! Amini hakuna kituo CCM watapata kura 100
 
Kama unakaa kwa shemeji yako bwerere hapo buza utayajuaje ya vijijini?

Endelea kuota !!
 
..kutokujua kusoma na kuandika kumekua mtaji mkubwa wa maccm kwenye chaguzi....wewe hujui hili ..ama unajifanya kutojua....na kama uko chadema na hulijui hili basi unachangia kwenye kupoteza kura zenu....jua kuwa huko vijijini kwenye wapiga kura wengi ignorance ndio mtaji wa maccm....hutaki unaacha...
 
Mimi ni mtumishi wa umma. Kura yangu siwezi kuipeleka kwa kiongozi dhalimu aliyenitesa kwa miaka mitano.

Nasema hadharani kwamba nitamchagua Tundu Lissu kwa maendeleo ya kweli.

Huyo dikteta akalime nyanya chungu huko Geita.

JPM ana miaka 20 ingine madarakani
 
Baadhi ya vijiji wanamfahamu, wanamtambua kuwa ni yule anayetaka wanaume kwa wanaume waoane Kama ilivyo huko ulaya...kwenye baadhi ya vilabu vya pombe wanazungumzia Hilo na wanalaani Sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…