Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Jina Langu Lipo Namba Moja, Usihangaike Kuangalia Kwingine


magu ana followers 1M, lissu ana folllowers 150K, kwamba sisi 1M hatujui kusoma na kuandika ama? we unadhan tumefikaje mpaka kufollow page ya magu na tukaacha ya mbelgiji? acha dharau dogo! na hata ivo uchaguzi hamshindi hata mpigiwe kura na nchi mbili
 
Ni kweli kabisa Magufuli anajulikana sana vijijini kwa mabaya aliyowatendea yakiwemo kuwakopa mazao yao, kudhulumu haki yao ya kupata huduma ya afya nk.
 
Mtaji ni ule ule, ujinga wa wapiga kura.

CCM inaamini watu ni wajinga mno na hawawezi kusoma, hivyo wengi wataishia namba moja... kizazi hicho kinaelekea kuisha.

Siku hizi angalau wengi wanajua kusoma na kuandika.
 
Hata nchi za Africa zikiandikwa inaanza Algeria na Angola halafu wanamalizi Zambia na Zimbabwe. Ndivyo kanuni inavyotaka hivyo.
una uhakika gan znaanza ivo, na kama wanataja mataifa yenye uchumi mkubwa je wataanza ivo? kuwekwa mwisho wa karatasi means hata rungwe atawapita
 
Kamrahisishia kazi Lissu, na huu ni ushahidi kuwa hii ilipangwa.

Swali la kujiuliza hapa ni je,wamepanga mangapi?
 
..nyie followers mko mjini ama vijijini.....by the way kushinda ccm mtapora kura kama mlivyopanga...maana kushinda kwenye sanduku la kura hamtoweza asilani....ila mjue uporaji wenu wa safari hii utakua mgumu mno na dunia nzima itajua hili....na utawala wenu baada ya hapo utakuwa wa kilio kikuu...mtapigwa pini na dunia nzima....na ikiisha miaka mitano yenu ya kiporaji jamaa ataondoka madarakani na ccm yake....na labda..labda ataishia the hague....nasema leo....utanikumbuka baada ya miaka mitano ijayo....kama mtapora kura....kama msipopora mtaondoka wiki ijayo....
 
Swali la kijinga. Kwa hiyo hapa kwenye karatasi za kura tunapigia kura uchumi wa vyama. Kum wewe.
una uhakika gan znaanza ivo, na kama wanataja mataifa yenye uchumi mkubwa je wataanza ivo? kuwekwa mwisho wa karatasi means hata rungwe atawapita
 
Haitawasaidia. Namba 1 ingekuwa ni vyama vinavyoanza na A lakini Tume imeshinikizwa kuweka CCM kwanza! Na kuweka C nyingine mwisho kabisa (CHADEMA)! Haki iko wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kinukisheni
 

Have you forgot tanzania inaunga mkono pakistan? pakistan ni msururu mmoja na russia + china, sasa waite hao wanaowatetea then utaona mbabe nan, kaa ukijua russia na china wanatafuta tatizo lolote dogo warushe balistic missles zao ambazo znmeshasetiwa znaangalia new york!
kama mlikua mnategemea sjui watakuja vibaraka wenu kufanya fujo utasubiri sana
 
Umesema kama mtu anajua kuandika na kusoma, bibi yako anajua hayo? Ama wewe unataka kura za wanaojua kusoma na kuandika tu? Kura ya anayejua kusoma na kuandika ni 1 tu, sawa na ya nasiyejua.
Sio hoja kaka, kama mtu anajua kusoma na kuandika chama hata kikae mwisho atachagua chama na kiongozi anaemtaka
 
Kwanini wasifuate Alphabetical order kama 2015?
 
..fujo wakuzifanya nyie wa kushindwa...mmekosa hoja mmembaki na viroja vya vibaraka wa mabeberu...wakati mnaowaita mabeberu ndio wanaowapa pesa za kuiba na kujitapa mmefanya mengi...hata mabenki mnakokopa pesa ndio hao mnaowaita mabeberu....siku mtaiba kura hao hao mnaowaita mabeberu ndio watawapiga pini.....maana ndio wanaowalisha.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…