Safi kabisa..mpe mtu atakayehakikisha yale MAKINIKIA yaliyopo bandarini hayasafirishwi nje ya nchi yanasafishwa kwenye smelter zetu hapa nchini.Hahahh
Kushoto kulia, kushoto kulia
Wapo wanaopinga jitihada zako
Wanaona Aibu wanaogopa, wanaogopa
Sina Chama Lakini Nampa MAGUFULI
Siwezi kumpa Mtu kula akaweke rehani Madini Yetu [emoji16][emoji16][emoji16]
Hayo ni mawazo ya watu wasio na elimuHahahh
Kushoto kulia, kushoto kulia
Wapo wanaopinga jitihada zako
Wanaona Aibu wanaogopa, wanaogopa
Sina Chama Lakini Nampa MAGUFULI
Siwezi kumpa Mtu kula akaweke rehani Madini Yetu [emoji16][emoji16][emoji16]
Haya nayo ni mabadiliko. Ndio maana fedha nyingi za dunia huwekezwa kwenye tafiti, ili zitafutwe njia rahisi, au nzuri zaidi. Unaweza ukakuta baada yetu, nchi kibao zinatumia mfumo huu.Acha kutetea ufara. CHADEMA waliomba kuteuliwa wa mwisho? Kanuni zote za usawa duniani zinatumia alphabet. Hata nchi za Africa zikiandikwa inaanza Algeria na Angola halafu wanamalizi Zambia na Zimbabwe. Ndivyo kanuni inavyotaka hivyo.
Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema jina lake na la Mama Samia lipo juu katika karatasi za kupigia kura hivyo wananchi wasihangaike kuangalia kwingine
Amesema, "Wewe angalia juu utalikuta jina la John Pombe Joseph Magufuli, utalikuta la Mama Samia Suhulu, utakuta na box la kuweka 'tick'. Wewe weka 'tick' kunja karatasi lako, dumbukiza kwenye box nenda ukampumzike nyumbani"
Katika mkutano wa kampeni uliofanyika Korogwe Mkoani Tanga, Dkt. Magufuli amewaambia wananchi wasihangaike kuangalia kwengine kwasababu wale hawawahusu
Amewaelekza wananchi kuwa, wakati wa Uchaguzi ni wakati wa kuamua kama wanataka maendeleo au 'blah blah'
Na sisi raia na mali zetu tuna haki ya kulindwa.Kisipoeleweka kuingia barabara I ni haki yetu ya kikatiba.
Ni wapi aliposema ataweka madini rehani acha uongoHahahh
Kushoto kulia, kushoto kulia
Wapo wanaopinga jitihada zako
Wanaona Aibu wanaogopa, wanaogopa
Sina Chama Lakini Nampa MAGUFULI
Siwezi kumpa Mtu kula akaweke rehani Madini Yetu [emoji16][emoji16][emoji16]