johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Watu ndio wana vyama bwashee!Unapotoa ujumbe kama huu Yohana Mbatizaji uwe unafuta hiyo signature yako ya maendeleo hayana chama
Hii waalim waliikataa,Hakika tumetekerezaaaaa,mtuaminiiii.View attachment 1584339
Bwashee jamaa yenu muoga sana ana shindwa kutaja jinaWatu ndio wana vyama bwashee!
Mzee anakosea.
Kwahiyo wamchague tu huyo Jah hata kama hawamtaki!?
Lini amenza kuona wasio na Elimu wanauwezo mbona kawatoa walimu na wakufunzi wetu vyuoni. Huyu.hafai hata kuliwa na ugali mkavuDkt. Magufuli amewataka wananchi wa Makambako wamchague mgombea ubunge wa CCM Jah people kwa sababu kwenye ubunge hatuchagui degree bali mtu.
Dkt. Magufuli amesema Jah people salamu yake ni Kidumu chama cha mapinduzi hivyo wakimleta bungeni wataelewana ila wakimleta yule anayesalimia kwa alama ya manati sitawaelewa.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Amekushikia bunduki au nakwambia usipompigia Kura huyo wa CCM atakuadhibu,akili nyingine bwana😂😂.Haahaa mgombea anawatisha wapiga kura.siwezi mpa mgombea wa namna hyo kamwe, afadhali kura ipotee
Unaeomba sio wewe tu,hata wa CCM nao wanaomba abaki madarakani,sa itakuwaje🤔?Mungu tuondolee mtu mwenye Chuki, roho mbaya na ubaguzi kwa sababu ya kiti cha uraisi
Mungu wetu ana kazi nyingi za kuumba binadamu wenye roho safi wa kuchagua badala ya shetani tunayemwona na kumbeba anayepaswa kutupiliwaMungu tuondolee mtu mwenye Chuki, roho mbaya na ubaguzi kwa sababu ya kiti cha uraisi
Ubaguzi wa kiwango cha SGR kabisaMungu tuondolee mtu mwenye Chuki, roho mbaya na ubaguzi kwa sababu ya kiti cha uraisi