Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema nchi nyingi za Afrika zina mipaka waliyorithi kutoka kwa wakoloni
Mataifa mengi ya afrika yalitawaliwa hadi miaka ya 1950 kipindi ambacho mataifa ya afrika yalianza kupata uhuru. Lakini mataifa hayo mengi waliendelea kuenzi mipaka iliyowekwa na wakoloni
Amesema hali ilikuwa tofauti kwa Tanganyika na Zanzibar waliungana kwa hiyari yao na kufanya kutobaki katika mipaka ambayo iliwekwa na wakoloni
Magufuli aliyasema hayo alipokuwa Zanzibar katika mkutano wa kampeni katika viwanja vya Mnazi Mmoja