KAMPENI ZA MAGUFULI MKOANI KILIMANJARO
Nileteeni Madiwani Kama Juma Raibu
Leo katika kampeni zake zinazoendelea Mkoani Kilimanjaro Rais na Mgombea wa CCM Dkt John Pombe Magufuli wakati akiwaombea kura Wagombea wa Udiwani wa CCM amesema anahitaji madiwani wachapakazi za Wananchi wanyonge Kama Juma Raibu.
Rais Magufuli amemsifu Diwani Juma Raibu kwa kufuatilia masuala ya Ardhi wanazodhulumiwa Wananchi wanyonge,akataolea mfano suala Bibi aliedhukumiwa kiwanja chake katika kata ya BomaMbuzi Kisha Diwani huyo akaliibua na kulisimamia mpaka likamfikia Rais Magufuli ambae alimtuma Waziri Lukuvi kuja Kulitatua suala Hilo.
Hivi karibuni Juma Raibu amekuwa akipongezwa kila mahali kutokana na uchapakazi wake usiokuwa na mawaa wala kujikweza.