Swahiba don’t count your chickens before they are hatched.Hiyo ni pai Swahiba
Sky, you have always making my day with your impressive contributions. No much to say.Swahiba don’t count your chickens before they are hatched.
🙏🏾Sky, you have always making my day with your impressive contributions. No much to say.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya watu wasiokwazika na wanaenjoy JF ni mimi na SkySky, you have always making my day with your impressive contributions. No much to say.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaskia mtu mjinga akakwazika!? (Hii statement haimhusu Sky)Kati ya watu wasiokwazika na wanaenjoy JF ni mimi na Sky
Ni punguani pekee anayeamini JPM atashindwaAna uhakika kura zitatosha October 2020?
tushang'amua janja ya MATAGA.
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.
Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.
Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.
My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
Mitano inamtosha apumzike sasaAna uhakika kura zitatosha October 2020?
Kwanini hajawahi kuwakemea wanaotaka aongezewe muda!? Tena sio layman ni watu kama spika...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.
Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.
Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.
My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
At the sudden end he suprise youNever a dictator, hata Kagame amesema hivyo Mara nyingi