Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nitastaafu Urais mwaka 2025 na kupisha wengine

2025??????? thubutuuuu tunakustaafisha kwa manufaa ya UMMA. Tarehe28.10.2020
Ukapumzike Chato Urais kazi nzito na wewe ushazeeka huiwezi tena
 
Rais alishasema na anarudia mara kwa mara.

Msimamo wake unaeleweka,

Wasio mtakia mema wanataka kumchafua tu.
 
Anajuaje atashinda
 
Hicho kiumbe si cha kuamini hata sekunde
Kisaikolojia ni kwamba alikuwa na mpango wa kuongeza ila watu wameshtukia huo mpango sasa inabidi tu akatae kwenye hadhara
 
Kiongozi wa bunge ni nani? Kwani yeye ndio muamuzi?
Aliposema mlimshangilia na kupiga meza. Kwani mara ngapi chombo hicho kimepitisha mambo ya hovyo kwa kudhani wanawakomesha wapinzani ?!. eg muswada wa Gas na mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…