Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mgombea urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema sekta ya usanii na michezo imekuwa ya tatu katika kukuza uchumi wa nchi.
Amesema kuna watu wanawadhihaki au kuwadharau wasanii lakini wasanii ni watu muhimu katika kuelimisha jamii na kuburudisha.
Ameyasema hayo alipokuwa Bukoba, Kagera, katika muendelezo wa mikutano yake ya kutafuta kura kwa wananchi kuelekea Uchaguzi Mkuu, Oktoba 28.