Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Naomba kujuzwa wanabodi yule Dkt. Mhede aliyepelekwa kule Mwendokasi ameshafanya nini cha maana katika mradi ule? Maana nakumbuka kuna mtu alitumbuliwa pale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bangi tena duhYaani jamaa aliaamka na bangi bwana.. si akapeleka mwendokasi route ya shekilango road. Mwenyewe baada ya siku tatu akafuta route. Naona anapambana na ya kibaha saiv.
Alafu aliziachia zile za makonda zipo nyingi tu barabarani saiv.
Sahivi mwendokasi Haina shida sisi tunaotumia usafiri huu tumeridhika basi za kutosha speed nzuri..hongera kwao wamentain hivihivi..Naomba kujuzwa wanabodi yule Dkt.Mhede aliyepelekwa kule Mwendokasi ameshafanya nini cha maana katika mradi ule, maana nakumbuka kuna mtu alitumbuliwa pale.
Sahivi mwendokasi Haina shida sisi tunaotumia usafiri huu tumeridhika basi za kutosha speed nzuri..hongera kwao wamentain hivihivi..Naomba kujuzwa wanabodi yule Dkt.Mhede aliyepelekwa kule Mwendokasi ameshafanya nini cha maana katika mradi ule, maana nakumbuka kuna mtu alitumbuliwa pale.
Wakati mwingine try and error katika maisha lazima itumike.Yaani jamaa aliaamka na bangi bwana.. si akapeleka mwendokasi route ya shekilango road. Mwenyewe baada ya siku tatu akafuta route. Naona anapambana na ya kibaha saiv.
Alafu aliziachia zile za makonda zipo nyingi tu barabarani saiv.
Waitre....Yule mupe huyu muruke pale zungusha....meza ya katikati waongezee mbili mbili。Naomba kujuzwa wanabodi yule Dkt. Mhede aliyepelekwa kule Mwendokasi ameshafanya nini cha maana katika mradi ule? Maana nakumbuka kuna mtu alitumbuliwa pale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Yaani jamaa aliaamka na bangi bwana.. si akapeleka mwendokasi route ya shekilango road. Mwenyewe baada ya siku tatu akafuta route. Naona anapambana na ya kibaha saiv.
Alafu aliziachia zile za makonda zipo nyingi tu barabarani saiv.
Wasomi wajanja ni weziBongo mambo mengi hayaendi sababu wasomi "Washamba" wanapewa kazi ya Kuendesha Miradi mikubwa ya "Kisasa"
Si mpaka mvua zianze ndio ijulikaneSahivi mwendokasi Haina shida sisi tunaotumia usafiri huu tumeridhika basi za kutosha speed nzuri..hongera kwao wamentain hivihivi..
Hajafanya kitu chochote. Kwa hiyo ninakuomba uje ofisini kwangu kesho uchukue barua ya uteuzi kuanzia kesho unam-replace. Hiyo nafasi unaichukua wewe kuanzia keshoNaomba kujuzwa wanabodi yule Dkt. Mhede aliyepelekwa kule Mwendokasi ameshafanya nini cha maana katika mradi ule? Maana nakumbuka kuna mtu alitumbuliwa pale.
unfikiri mishahara ya watumishi wa umma inashuka kama kumsukuma mlevi....., analipwa hela ileile alokuwa analipwa tra mradi hakujihamisha, alihamishwa na mamlaka, anachokosa ni posho tu TRA n sasa anakula za UDART!acheni mnyalu wawatu apumzike akili imkae sawa kutoka kupokea million 15 Hadi 3milion nijambo linahtaji kidogo mapinduzi yakiakili
Shida hapo ni system ya umeme kwenye hayo magari ila kwa usemalo lina mashiko ndani yakeAmejitahidi sana kuboresha aisee ila ajitahidi waanze tena kutangaza vituo ilikua inaongeza sana ubora maana Dar wageni ni wengi na hata watalii pia ambao huu mradi kwao haupo na wakija wanaushangaa na kuona tumepiga hatua kubwa. Nasisitiza waanze tena kutangaza vituo nimeshuhudia watalii wanaulizana na mmoja akimwambia mwenzake naye aliambiwaga vituo vinatangazwa. Msione kama ni kitu kidogo mnaacha kiholela tu wakati haiwaongezei gharama