samurai JF-Expert Member Joined Oct 16, 2010 Posts 11,495 Reaction score 24,223 Oct 25, 2021 #21 Yaani kuiendesha mwendokasi kunataka PHD...? Mhuni tu mmoja mwenye exposure ya dunia ukimpa huo mradi unaperform na kuleta faida balaa...si ajabu hata Haji Manara ukimkabidhi hapo mambo yanaenda...
Yaani kuiendesha mwendokasi kunataka PHD...? Mhuni tu mmoja mwenye exposure ya dunia ukimpa huo mradi unaperform na kuleta faida balaa...si ajabu hata Haji Manara ukimkabidhi hapo mambo yanaenda...