Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ni kweliKifo ni kifo TU!
Ni hatari sanaChanzo cha ajali ni nini,
Ila madereva wengi wa serikali wako rough sana barabarani, huenda vifo vingi vinachangiwa na tabia hiyo
Kweli kabisa! Halafu hawawambii wapinguze mwendo! Kuna yule kichaa msafara wa ruto ametoka nje ya Barabara ameenda kumuua mzungu watu aliyekuwa kwa miguu! Takataka kabisa!Chanzo cha ajali ni nini,
Ila madereva wengi wa serikali wako rough sana barabarani, huenda vifo vingi vinachangiwa na tabia hiyo
Huko Songwe si ndiko yuko Makamu?Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya inaeleza kwamba Dkt Liberate Mleoh alipata ajali akitokea Mkoani Songwe kwenye Mazishi ya Ofisa mwingine wa Wizara hiyo.
Namfahamu Marehemu, alikuwa Mtu Mwema, Namuomba Mungu Aipokee Roho yake, Amina
View attachment 3273015
Zile speed wanazokwenda nazo ingekuwa na Maendeleo yako vile ingekuwa tumewazidi Wachina.Madereva hz stk,stl,DFP na maboc zao watakufa Sanaa na kuuwa watu wasio na hatiaa Kwa speed zao π€π€
Wanaharaka boss kachoka anatakiwa kupumzika mapemaMadereva hz stk,stl,DFP na maboc zao watakufa Sanaa na kuuwa watu wasio na hatiaa Kwa speed zao π€π€