Dkt. Mollel: Asiwepo Mtanzania ambaye atakosa huduma za Afya Hospitali kwa kukosa fedha

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, amegiza Vituo vya Afya na Hospitali kuwa kusiwepo na Mtanzania yeyote atakayekosa huduma za afya kwa sababu ya kukosa fedha.

Tamko hilo amelitoa leo Februari 7 wakati akijibu swali la nyongeza Bungeni kuhusu hali ya huduma za afya nchini.

Your browser is not able to display this video.
 
Anataka kushindana na Chalamila? By the way kama ilishindikana wakati wa USAID wataweza leo?
 
Serikali inaagiza au inatakiwa kuagizwa
 
Hawa wazee siasa nyingii kwenye huduma serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…