Stern than jiwe. Kasema tuhuma dhidi yao zikithibitika.Kama anataka kurudisha mfumo wa jiwe labda.
Nakazia WatoleweYeye hicho cheo chake na Mkataba wa DP mbona hajamshauri Rais vzr. Na yeye atolewe, na Waziri Mkuu, Waziri Mbarawa , na Katibu mkuu miundombinu. Yaani mtu ana panua tu mdomo kisa haiko kwake.
Na Mwenyewe Ni Mchafu Sana Tu Atasema NiniKwenye hili la Bandari Dr. Mpango yeye anasemaje?