Dkt. Mpango amuwakilisha Rais Samia kumbukizi ya mwaka mmoja tokea kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Piere Nkurunziza

Dkt. Mpango amuwakilisha Rais Samia kumbukizi ya mwaka mmoja tokea kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Piere Nkurunziza

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau wa JF

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Philip Isdor Mpango leo Juni 08,2021 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kwenye kumbukizi ya mwaka mmoja tokea kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi Piere Nkurunziza

Kumbukizi hiyo iliyohudhuriwa na Mheshimiwa Rais Evarist Ndayishemiyee zilifanyika kwenye Jiji la Gitega Burundi.

1.jpg
2.jpg
4.jpg
3.jpg
5.jpg
 
Sijui kwanini Tanzania ina Mapenzi makubwa na Burundi wakati katika Jumuiya yetu Burundi ndiyo nchi yenye Watu Katili na Kabila Katili la Hutu ambako ndiko ' Intarahamwe ' wengi wanatokea.
 
Usisahau watusi ndo watu wasiofaa na kizazi cha watu wa ajabu wanaojisikia na kujiona bora kuliko waafrika wengine

Ijapo mama yangu ni mtusi ila mhhhh hapana aisee
Sijui kwanini Tanzania ina Mapenzi makubwa na Burundi wakati katika Jumuiya yetu Burundi ndiyo nchi yenye Watu Katili na Kabila Katili la Hutu ambako ndiko ' Intarahamwe ' wengi wanatokea.
 
Usisahau watusi ndo watu wasiofaa na kizazi cha watu wa ajabu wanaojisikia na kujiona bora kuliko waafrika wengine...
Ilikuwa kosa kubwa sana kuzifanya Burundi na Rwanda nchi.Hii ilitakiwa kuwa mikoa ndani ya JMT.
 
Kumbukizi,si angeenda waziri was utamaduni,
Deni trioni 71 halafu tena misafara et kumbukizi.
MBELE KWA MBELE
 
Back
Top Bottom