ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Makamu wa Rais ameoneshwa kusikitishwa Kwa ulaji huo wa pesa za wakulima ukiofanywa na Watumishi Kwa kushirikiana na Maofisa wa NMB na watu wengine 15.
Waziri wa Kilimo amesema amechukua hatua zikiwamo.kuwasimamisha kazi waliotajwa huku VP Mpango akimtaka kuchukua hatua zaidi Kwa kushirikiana na Vyombo vya Dola.
---
Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa iliyotolewa na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ikihusisha watumishi wa umma na wengine 15 na Afisa Mikopo wa Benki ya NMB waliopiga fedha za tumbaku zaidi ya shilingi bilioni 1.2 mkoani Tabora.
Akizungumza wakati wa kuhitimisha ziara yake ya siku 4 mkoani humo Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema, ameshtushwa na taarifa iliyotolewa na Waziri Bashe na anaagiza hatua za uchunguzi kufanyika na vyombo vya dola viwasake waliohusika.
Amesema fedha hizo zilizopigwa ni mikopo ya wakulima wa Kisanga Amcos Sikonge mkoani Tabora.
"Asante Waziri Bashe kwa kulipua hili na hongera kwa kuchukua hatua kwako kwa kuwasimamisha kazi maafisa kilimo na ushirika, namuagiza Mtenda Mkuu waNMB waliopiga fedha za tumbaku zaidi ya shilingi bilioni 1.2 mkoani Tabora.
Soma Pia: Masasi: Waziri Bashe aagiza diwani wa CCM kutiwa mbaroni kwa tuhuma za kutafuna fedha za wakulima milioni 139

"Asante Waziri Bashe kwa kulipua hili na hongera kwa kuchukua hatua kwako kwa kuwasimamisha kazi maafisa kilimo na ushirika, namuagiza Mtenda Mkuu wa NMB huyu Afisa Mikopo Tabora aliyekula njama za wizi huu asimamishwe kazi mara moja na watumishi wa umma wote waliopiga fedha hizo na wengine kuhamishwa wasakwe na kushikiliwa
My Take
Tanzania ina jamii ya watu wanaoona wizi ni ujanja na kwamba bila kuchukua hatua Kali zaidi ufisadi hauwezi kuisha maana ni chain.👇👇
View: https://youtu.be/-33KNsZ131g?si=VPygbtXlJKAlxEEs