Dkt Mpango: Nimestushwa na taarifa ya kupigwa kwa fedha za wakulima wa tumbaku Takribani Bilioni 1.2

Sioni ajabu ya haya mambo ikiwa afisa wa ikulu 'anatuhumiwa' kununua hekalu la mabilioni Masaki na ni mtu wa kulipwa mshahara.
Hajazuiliwa kununua kama Hela ameipata halali.kama ni Hela Yako ni ruksa kununua mahekalu hata Washington au popote duniani
 
Muanzisha Uzi na lile jinga lenzako Lucas Mwashambwa endeleeni kulamba makalio ya wapigaji na mshtushwe zaidi
 
Huyu babu huwa hashitushiwi na matumizi makubwa na ya hovyo ya Wizara mbali mbali, misafara yao, wizi wa mawaziri/RC/DC/ lakini yeye huwa anapambana na watendaji wa chini, atuambie ziara yake imetumia shs ngapi?
 
Baada ya wewe kushtushwa na mimi pia nimeshtushwa.

Nikishamaliza kushtuka nitabubujikwa na machozi na kugaragara.

Asante.
Wengine machozi yamewabubujikwaaa πŸ˜„

Ova
 
Hatuna ungozi kama Mimi raia naibiwa fedha na watumishi wa umma harafu kiongozi anaishia kusema ameshitushwa
 
Duuuuh! Makamu wa rais anashtushwa na wizi? Kwahyo baada ya kushtuka? Ataamka usingizini au ataendelea kulalaπŸ˜€πŸ˜€
Nilitegemea kuona hatua kali zimechukuliwa dhidi ya wezi. Kumbe ameshtuka tu.
Any way nashukuru hata nmepata taarfa ya makamu wa rais maana toka mei mosi mwaka huu sijawahi kusikia habari zake wala ziara yake yyte ile.
Huyu mzee kapoa saana dah.
 
Akishashtuka,
Na wakiwachukulia hatua
What's next?
Wakulima wanapewa hela nyingine au ndio imetoka?
 
Baada ya kustushwa kilichofuatia ni πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/-33KNsZ131g?si=VPygbtXlJKAlxEEs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…